Familia ya Dausen Munis wa Kunduchi Daresalaam inasikitika kutangaza kifo cha binti yao Laura Dausen Munis-Mesaque kilichotokea tarehe 2/2/2009 huko Acton Town Uingereza. Anuani ya alipokuwa akiishi ni
42 Caine Rd,
Hanbary Road,
W3 8RE.
Marehemu Laura alifariki nyumbani kwake alfajiri na chanzo halisi cha kifo bado kinafanyiwa uchunguzi wa kitaalamu (Autopsy). Marehemu ameacha watoto wanne. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kupelekwa kilimanjaro kwa mazishi inafanywa.
Familia ya Munis inachukua fursa hii kuomba michango ya hali na mali ili kusafirisha mwili wa marehemu kwa mazishi. Watanzania, ndugu, jamaa na marafiki tunaombwa kutoa rambirambi zetu kwa kuwafariji wafiwa. Akaunti maalum kwa ajili ya kusaidia kusafirisha mwili wa marehemu na mipango ya mazishi kwa ujumla imefunguliwa Bank of amerika.
Bank name:Bank of America
Name on account: Viola D. Munisi ( Acc for Laura)
Acc# 488020718091
Route # 111000025
Name on account: Viola D. Munisi ( Acc for Laura)
Acc# 488020718091
Route # 111000025
Viola Munisi (Dallas- Fort worth, TX) 281- 788-1179
Peter Munis (Wichita, KS)316-519-8000
Edna Munis (UK) 788 2052 473
Hellen Dausen (Kenya) 254712428285
Elda Dausen (Malaysia) 60176744001
Peter Munis (Wichita, KS)
Edna Munis (UK) 788 2052 473
Hellen Dausen (Kenya) 254712428285
Elda Dausen (Malaysia) 60176744001


Naomba kurekebisha akaunti.
ReplyDeleteAkauti iko kwenye jina la Viola D. Munisi ( acc for Laura)
Account namba ni 488020718091, Route# 111000025. asanteni
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
ReplyDeletePoleni sana na salamu za rambirambi ziwaendee ndugu,jamaa,marafiki na wanafamilia popote pale mlipo.Pole sana sister Viola.
Steve,Houston.
I am sorry for your loss.
ReplyDeleteJaneth
Mungu awaimarishe katika kipindi hiki kigumu familia ya Munisi. Mungu mwenyezi aliyekuumba akupe pumziko la milele, Laura.
ReplyDeleteBro Michuzi
ReplyDeletemimi ni mdau mkubwa wa blog yako
Mara kwa mara huwa unaweka post ya kuomba michango ya kusafirisha mwili wa marehemu hasa wale wanaofariki wakiwa nchi za nje. hoja yangu ni kwamba mbona watu hawa wanapoenda huko nje huwa hawatuombi michango??
sasa kama huyu alikuwa na watoto wa nne pamoja na kwamba hawajatuambia watoto hao wapo wapi.Inaonekana ni mke wa mtu na huko alikuwa anafanya kazi,sasa suala la kutuomba michango limekaaje hapo??
ni hayo tu
Wapendwa mama Munisi, Viola, Edina, Peter, Hellen, Elda na watoto wa marehemu, nawaombea mungu awabariki sana katika jina la yesu. 'Sisi tulimpenda na Mungu aliyemuumba amempenda zaidi na hivyo kumwita kwenye pumziko la milele. Mbarikiwe sana!!!!
ReplyDeleteFamilia ya Munisi poleni - Michuzi andika Munisi sio Munis
ReplyDeletePole sana Viola na familia nzima. Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hichi kigumu.
ReplyDeleteMwanyoka.
ni yule aliyemaliza muhimbili primary 1989? , mungu apumzishe kwa amani amina. (darasa la akina fredy l,maleke,humphrey mbise,othman kibodya,arthur luhigo,edith uronu,salama mwinyi na wengineo.
ReplyDeleteR.I.P Laura
ReplyDeleteMdau unayetatizwa na suala la michango, uko TZ kweli? mbona suala la michango hata hapa nyumbani lipo jamani? Hasa linapoingia suala la kusafirisha mwili wa marehemu frm point a to point b? binafsi, sijakukubali kwa hilo....
ReplyDeleteANONY 7;29am NI MAPEMA SANA KUANZA LIGI,ILO NI OMBI NI UAMUZI SIO LAZIMA,MCHANGO WAKO ISIWE SABABU YA KUTAKA KUJUA HATA YASIO KUHUSU. RIP
ReplyDeleteNdugu zangu watanzania mlioko huko nje ya nchi nawaomba sana tudumishe utamaduni wetu wa upendo na kusaidiana. Sisi wazazi wenu tunafarijika kuona mnavyoshirikiana katika misiba na matatizo yanayotokea huko Ulaya na Marekani.Mungu awazidishie nyote mnaotoa kwa moyo wa upendo.
ReplyDeleteMuhimbili primary 1989???my school
ReplyDeletepoleni wafiwa jameni
ila wanajiweza tu,alibeba box nyingi sana
sio mapema kuongelea swala la kuombana michango kwa misiba hii inayotokea nje. watu hawa wakiwa nje wanashawishi sana kuwa ulaya na marekani kuna maisha, inakuwaje washindwe kusafirisha miili amdayo katika ndege huchajiwa tofauti kidogo. kwa mfano angalia familia ya hawa munis kama wako nje, sasa kunafaida gani kukimbilia huko, kama maisha ndo yanabana hivyo.
ReplyDeletebadirike na mkubali ,huku wenzetu wanaishi maisha mabaya ,lakini sababu ni sifa ,wanaendelea kushawishi sana kuwa kuna maisha kwa wazungu.
SO MICHANGO HIYO, IJADILIWE, SI MKIWA UZUNGUNI MPO INSURED HADI BARIAL SHUGHULI?
Mwenyenzi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba na ampumzishe marehemu mahali pema peponi. Pole sana Peter.
ReplyDeleteJackson
Huyo anony. wa feb 4 12:19 nafikiri hajui gharama za kusafirisha maiti. Eti zinatofautiana kidogo tu na za kawaida u wish. kusafirisha mwili kutoka u.s.a is not less than $10,000 wanasafirisha kwa pound(uzito) sio kwa mwili. Bado sehemu mwili unapohifadhiwa not less than $1000 a day.Kwa hilo nafikiri nitakua nimekuelimisha kidogo.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa.
ReplyDeleteMwenyezi mungu awaongezee nguvu kipindi hiki kigumu.....
Elifaa. 89 GRADUATE 7A Muhimbili
Anon wa Feb 4th, 8:33am, aliyefariki sio Viola wa 89, nafikiri ni dada yake.
ReplyDeleteFAmilia ya Minisi, poleni sana, Mungu awape nguvu na mumgozo mwema. Joyce
ReplyDeleteKwanza, poleni wafiwa ndio maisha haya ya kila siku ya mwanadamu.
ReplyDeletePili,
Ili kuondokana na usumbufu wa hapa na pale kuna umuhimu wa kununua bima za maisha. Maadam wengi wa walio nje ni vijana bima za maisha sio ghali, inategemea ni kiasi gani unataka warithi wako walipwe pindi utakapofariki. Hii itaondoa utegemezi wa kuchangiwa pindi utakapofariki. Nadhani huu ni wakati muafaka wa kufanya haya maamuzi ili kuondoa usumbufu kwa wale utakao waacha pindi wewe utakapofariki.
Samahani najua watu wanauchungu lakini huu ndio ukweli wa mambo.
Nyie akina annoni wa hapo juu mliotoa maoni ya kibehi eti mbona tunapo ondoka huwa hatuwaombi pesa za kutuleta ulaya. hii ni kibehi sana hasa kwa wafiwa. pili hii michango tunayoomba hapa ni kwa wakaaji wa hapa ulaya na marekani. wewe uliyeko Tanzania kweli hatuhitaji mchango wako hapa. wewe mpaka ukabadili madafu na utume hapa sijui kwa dola au pound utakuwa umebadili pesa nyingi sana, ila wewe kama unataka kusaidia tu walioko nyumbani peleka mchango wako kwa wafiwa hapo Dar. Ni kweli maisha nje ni magumu sawa tu na hapo nyumbani ila tunasaidiana.
ReplyDeleteDuh! poleni na msiba ndugu wafiwa, huyu Si Laura aliyesoma Shaaban Robert(1991) alikuwa akiishi Kijitonyama makumbusho, Duh! ametotoka bado akiwa mdogo masikini. Mungu amlaze mahala pema peponi, Ameen
ReplyDeleteKutoa ni moyo si utajiri, hasa kwenye shughuli za mazishi. sio harusi hii useme utakunywa bia kwa mchango wako. hutaki kutoa kaa kimya. Poleni peter na viola
ReplyDelete