wajapani wanakuja na aina hii ya kompyuta ambapo hiyo skirini na kinanda vyote ni taswira tu inayotoka kwenye hicho kidude

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. sie ni wapokeaji tu,,
    wailete tu tutakaoweza nunua poa tu

    ReplyDelete
  2. Duh! Si mchezo, Wenzetu wanapaa sisi ndo kwanza tupo kitandani hata kutambaa bado.

    ReplyDelete
  3. kwa kweli naona wivu, sisi Tz, tutafika lini jamani? lets take this as a challenge, work, be agressive, educate our children

    ReplyDelete
  4. Skrini sina tatizo nayo tatizo ni keyboard, huo ni mwanga wa projector ina maana ukiweka mkono kutype unauzuia, je inauwezo wa kujua umebonyeza key ipi?, hapo ndipo ninaposema hiyo kitu ni never exists labda aliyeileta aongeze maelezo zaidi kushawishi wepesi wa kuamini vitu vya kufirika.

    Aseme labla inaconnect na brain ya mtumiaji hana haja ya kutouch keyboard ni kufikiri tu then computer inadetect ambayo nayo ni ya kufikirika tu.

    Hii kitu si practical ila ni show tu ya jinsi ya kutumia projector hiyo.

    ReplyDelete
  5. Ufisasi ndo kikazwo kikubwa pamoja na rushwa............Wakati sisi tunafikiria kutatua matatizo ya maji,umeme wakati wenzetu vitu hivyo si headache tenaaaa,headache zao ndo vitu kama hivi vya kimaendeleo........

    ReplyDelete
  6. hicho kidude ,jina lake ndio kidude au?

    ReplyDelete
  7. JAPAN WANAWEZA, WHAT ABOUT THE GAME BOX Wii INAVYOFANYA KAZI NI KARIBU NA HIYO, PIA NIMEONA TV YA KARIBU NA HIVYO LAS VEGAS KWENYE MAONYESHO YA MWAKA HUU YA ELECTRONICS, UNAWASHA KWA KUNYOSHO VIDOLE VYAKO INAWAKA UNATAFUTA CHANNELS KWA KUNYOSHA PIA VIDOLE VYAKO HUGUSI REMOTE NI YA AINA YAKE SIWEZI KUELEZEA VIZURI JINSI INAVYOFANYA KAZI, NILIONA VITU VYA AJABU KIBAO AMBAVO VIKIJA TZ WATU WATAONA NI MAZINGAOMBWE SI SAYANSI, HAMNA UBISHI HAYO YANAWEZEKANA KABISA.

    ReplyDelete
  8. To be honest naadmire inversions na tecknolojia za siku hizi, lakini namiss sana zile enzi za kuandikiana barua kwa kalamu na karatasi, kuweka stempu etc, ina exitement ya kipekee sana!!! Technolojia nyingi za sasa zitatufurahisha kwa muda tu lakini hazitalast sana, pia sio wengi wanaweza kuafford,this is just my opinion!!!!!

    ReplyDelete
  9. HII NILIMUONA NAYO MASHAKA JANA.

    ReplyDelete
  10. Bado kidogo watu wataacha kabisa kulamba stempu.

    ReplyDelete
  11. Bado tutalamba stempu tunapotaka kutuma vipeto.

    ReplyDelete
  12. Sijaramba stempu miaka, kila kitu hapa ughaibuni ni sticker sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...