Home
Unlabelled
kompyuta za mbeleni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sie ni wapokeaji tu,,
ReplyDeletewailete tu tutakaoweza nunua poa tu
Duh! Si mchezo, Wenzetu wanapaa sisi ndo kwanza tupo kitandani hata kutambaa bado.
ReplyDeletekwa kweli naona wivu, sisi Tz, tutafika lini jamani? lets take this as a challenge, work, be agressive, educate our children
ReplyDeleteSkrini sina tatizo nayo tatizo ni keyboard, huo ni mwanga wa projector ina maana ukiweka mkono kutype unauzuia, je inauwezo wa kujua umebonyeza key ipi?, hapo ndipo ninaposema hiyo kitu ni never exists labda aliyeileta aongeze maelezo zaidi kushawishi wepesi wa kuamini vitu vya kufirika.
ReplyDeleteAseme labla inaconnect na brain ya mtumiaji hana haja ya kutouch keyboard ni kufikiri tu then computer inadetect ambayo nayo ni ya kufikirika tu.
Hii kitu si practical ila ni show tu ya jinsi ya kutumia projector hiyo.
Ufisasi ndo kikazwo kikubwa pamoja na rushwa............Wakati sisi tunafikiria kutatua matatizo ya maji,umeme wakati wenzetu vitu hivyo si headache tenaaaa,headache zao ndo vitu kama hivi vya kimaendeleo........
ReplyDeletehicho kidude ,jina lake ndio kidude au?
ReplyDeleteJAPAN WANAWEZA, WHAT ABOUT THE GAME BOX Wii INAVYOFANYA KAZI NI KARIBU NA HIYO, PIA NIMEONA TV YA KARIBU NA HIVYO LAS VEGAS KWENYE MAONYESHO YA MWAKA HUU YA ELECTRONICS, UNAWASHA KWA KUNYOSHO VIDOLE VYAKO INAWAKA UNATAFUTA CHANNELS KWA KUNYOSHA PIA VIDOLE VYAKO HUGUSI REMOTE NI YA AINA YAKE SIWEZI KUELEZEA VIZURI JINSI INAVYOFANYA KAZI, NILIONA VITU VYA AJABU KIBAO AMBAVO VIKIJA TZ WATU WATAONA NI MAZINGAOMBWE SI SAYANSI, HAMNA UBISHI HAYO YANAWEZEKANA KABISA.
ReplyDeleteTo be honest naadmire inversions na tecknolojia za siku hizi, lakini namiss sana zile enzi za kuandikiana barua kwa kalamu na karatasi, kuweka stempu etc, ina exitement ya kipekee sana!!! Technolojia nyingi za sasa zitatufurahisha kwa muda tu lakini hazitalast sana, pia sio wengi wanaweza kuafford,this is just my opinion!!!!!
ReplyDeleteHII NILIMUONA NAYO MASHAKA JANA.
ReplyDeleteBado kidogo watu wataacha kabisa kulamba stempu.
ReplyDeleteBado tutalamba stempu tunapotaka kutuma vipeto.
ReplyDeleteSijaramba stempu miaka, kila kitu hapa ughaibuni ni sticker sasa.
ReplyDelete