Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ujumbe kamili soma paragraph ya pili. Sijui tushukuru, tutukane, tufurahi, tukasirike, tucheke au tunune?
ReplyDeleteChina's Hu grants aid to Tanzania
Hu Jintao (centre) and Tanzanian President Jakaya Kikwete inspect a guard of honour in Dar es Salaam, Tanzania - 15/2/2009
Mr Hu praised China's ties with Tanzania as "exemplary"
China's President Hu Jintao has granted $22m (£15m) in aid to Tanzania as he continues his tour of Africa.
Tanzania is one of the largest African recipients of Chinese aid and bilateral trade rose by nearly 50% in 2007.
Mr Hu has visited Mali and Senegal and will end his tour in Mauritius. China's trade with Africa has boomed in recent years but has stalled recently.
China wants to show that it is not only interested in Africa because of its oil and mineral wealth, say analysts.
'Exemplary ties'
After witnessing the signing of a number of aid deals with Tanzanian President Jakaya Kikwete, President HU praised their two countries' relationship.
"The traditional friendship between China and Tanzania... can be viewed as an exemplary relationship of sincerity, solidarity and co-operation between China and an African country, and for that matter between two developing countries," Mr Hu said.
Mr Hu was also to officially open a 60,000-seat sports stadium, built at a cost of $56m financed mostly by the Chinese government.
Chinese and Senegalese workers - 14/2/2009
Many Chinese companies are involved in building projects in Africa
On his fourth visit to Africa, President Hu has stayed away from the resource-rich nations that China has previously courted.
China is getting oil from Angola and Sudan, and minerals from Zambia, Congo and many others.
But Chinese companies are also heavily involved in infrastructure projects in Africa, some with aid from the Chinese government.
In Senegal on Saturday Mr Hu signed aid and loan deals worth $90m and he laid the first brick of a "Friendship Bridge" that he called China's largest gift to West Africa.
And in Mali, the Chinese have paid for the presidential palace and are building a hospital and a bridge in the capital, Bamako.
Mauritius is also looking forward to receiving Chinese investment for infrastructure projects intended to boost the Indian Ocean nation's economy.
Before arriving in Africa, Mr Hu stopped in Saudi Arabia where oil topped the agenda.
The Chinese leadership hopes to improve its image abroad as a responsible country, especially as Africa is suffering from a decline in aid and investment due to the global economic slowdown, says the BBC's China analyst Shirong Chen.
Prime Minister Wen Jiabao has already pledged that China will not cut aid to Africa or backtrack its promise to waive debts owned by more than 30 poor African countries.
ila haya nayaona kama matusi flani hivi kwa mtu aliyekuja na nia njema ya kuwasaidia au pengine ni mimi tu ndo natazama vibaya.Mi nadhani tunatakiwa tubadili mtazamo kwani kosa la bidhaa fake kutoka china kuingia Tanzania si la wachina ila ni tamaa ya wafanyabiashara wetu kutaka faida kubwa,maana ukifika china kuna masoko ya bidhaa fake na ya bidhaa halali na wanaouza wanakuambia ukweli na bei ni tofauti sasa iweje tuwalaumu???
ReplyDeleteMichu,mshauri KP anusuru mbavu zangu tafadhali manake nimecheka kweli mimi na fisadi mwenzangu hapa tunaoiba muda wa kazi kwa kumuangalia blog ya michu "wizi mtupu".
ReplyDeleteKweli nami naamini wabongo wengi wamewaza au kusema hivyo,kwani tumezoea kusema aaah hicho kitu cha kichina feki,sasa tutaishia kusema hivyohivyo wenzetu ndo wanaondoka hivyo kimaendeleo,sie tunaishia kusema feki feki!!! yaani wachina wanatengeneza kila kitu na tunanunua huko hadi vijiko,vichokolea meno,bakuli,nanihiii n.k n.k n.k n.k ni aibu wapendwa sie twashindwa kutengeneza? au uong.....mbovu.Mchana mwema
mimi nuimeskia huyu alikuwa ni diwaniwa kata ya Xian Zhong..
ReplyDeleteHehehe...
ReplyDeletesasa ulitaka aitweje kama kila bidhaa inayotoka kwenye nchi yake ni feki? Siku hizi ukienda maduka ya vifaa vya umeme na electronics ukiulizia bei unaulizwa unataka ya mchina au ya UK. Kama kawaida kitu cha mchina ni half price ya kile kinachotoka uingereza ila kasheshe lake ikitokea hitilafu nyumbani ndo utajua mziki wa mchina manake inaungua hadi screw iliyotumia kutengeneza.
Sasa kiongozi wa nchi ya watu wanaotengeneza vitu fake unataka tumuiteje?
WALITAKA AJE NA DEGE LA KIFAARI NINI NDO MAANA MNALETEWA VITU FEKI KOZ MNATAKA MAKUBWA ,SALUTE KP!!!!!
ReplyDeletesina mbavu..... lakini on the contrary China wanatengeneza bidhaa za viwango vyote, ni wewe mnunuaji ndo unachagua, mbona kuna bidhaa za China zina quality nzuri tu na bei pia haipishani na EU counrties, ila kuhusu rais feki, ama kweli watu wana mambo..
ReplyDeleteHili ndilo tatizo la bongo!! Watu mnaongea sana!! Badala ya kuwa na 'constructive criticism' watu wanazungumza pumba tu!! Haki ya mungu...sijui lini watu wataanza kufikiria jinsi gani ya kujikwamua katika matatizo tuliyanayo. Mtu akitaka kusaidia, mwacheni asaidie. Sasa mnataka nini? jiulizeni kwanza kabla ya kuongea vitu visivyojulikana manake mnapoteza muda tu!
ReplyDeleteKP amefikisha ujumbe mzuri sana, nafikiri hii issue ya bidhaa fake toka China inaharibu kabisa sura ya China na credibility yake. Ni wajibu wa serikali ya China kuweka standard ya Export products. Kama wao wanatengeneza vitu duni iwe ni kwa manufaa ya wachina wenyewe, mtu yeyote anayetaka kuuza nje ya China lazima atengeneze bidhaa zenye Ubora. Hii itawazuia wabongo matapeli kwenda kununua sub-standard goods kule kwani hawataweza kuzisafirisha toka China.
ReplyDeleteMbona sisi zamani tulikuwa na bidhaa za export na za kutumia sisi wenyewe?, mfano Sigara, Sukari n.k. Sisi kuwa masikini haimaanishi tuuziwe bidhaa fake kwa bei ya kitajiri, Vinginevyo hawa wafanyabiashara fake wa Bongo wanunue mitambo ya kuzalishia bidhaa hizo hapa Tanzania, ili watengeneze ajira kwa TZ na sio kuwabambikia.
Leo hii mimi nipo very confortable kununua kitu cha China Huku Europe ni high quality kuliko kununulia Bongo. Kwa nini?, ni quality, karibia vitu vingi vinatoka China ila ni lazima viwe katika EU standard na wachina wanameet, sababu viwanda vingi vya Magharibi vimewekeza China kwa ajili ya Cheap labour kwa nini hivi visiuze na Africa?
Jamani, we should not forget something, Mchina is just a business man and is out to make profits. and thats what he does.
ReplyDeleteKwanini tumlaumu yeye while its our responsibility to control the imports? May be I dont understand, kwani what is TBS? Are they not responsible to ban imports from abroad if they fall below STDs?
Don't we think that we got our self to blame? The greed of our Government officials, sophisticated corruption to make the chinese look bad where as the broblem is our own!
Wakija kuchukua Mafuta yenu yote, we only got our selfs to blame! they did not invade the country, BUT a few GREEDY DICK-HEADS up there costing every one for generations to come. Nothing wrong with CHINESE, anybody would grab an opportunity if presented.
acheni kuwalaumu wachina inabidi mhoji kwanza kwa nini vitu vinavyoingia nchini kutoka china ni vibovu.
ReplyDeleteIssue ni kwamba kuna magrade na hali ya juu na chini , na mfanyabiashara wa Tz anataka faida kubwa.Inachotakiwa ni serikali kuweka viwango vya bidhaa za kutoka china kuja nchini.Pili wakiweka hivyo viwango wananchi wanaweza kuafford?.....Hili ni tatizo.....
Kama Europe kuna viwango vya bidhaa za kutoka china. Nakuhakikishia nikinunua Tv hapa europe ya kutoka china siyo sawa na Tv inayonunuliwa china kwenda TZ
kwa hiyo acheni lawama
mdau netherlands
michuzi,.......tunaomba haya maoni ya maana kama haya ya kujenga nchi uwe unayafanyia kazi na siyo kuishia huku kwenye blog tu.
ReplyDeletemaana najua ni watanzania wachache wenye uwezo wa internet ...kwa hiyo inabidi yafike kwa walengwa...
masudi hajakosea huu ndiyo mwanzo kwa kujenga nchi.
mdau netherlands
Alichomaanisha kp ni kwamba kwasabababu wamezoea mambo feki inawezekana raisi mwenyewe alikuwa siye bali ni mtu mwingine anayemfanania.
ReplyDeleteAfrica laana tupu tena Tanzani ndiyo kabisaaa,tunaona fahari kutangazwa ni wa kwanza kupokea misaada.Wenzetu Rwanda wanajaribu kupunguza utegemezi wa misaada sisi ndiyo hivyo tena.
ReplyDeleteTumekosa nini sisi jamani...mito tunayo mingi tu,maziwa matatu makuu yepo kwetu,ardhi kubwa tu,nguvu kazi ndiyo usiseme...!
Miaka 40 ya uhuru,tuko wapi na china walikuwa wapi baada ya miaka yao 40 ya uhuru???
Misri inategemea mto mmoja tu lakini wantupa misaada hata sisi mbumbu!Aibu tupu najuta mimi mwenzenu.....
kazi murua kp. kwa kifupi wachina ni WABUNIFU, WACHAPAKAZI, na WATAPELI (ukisinzia). Tunaweza kushirikiana nao au kuwaiga katika sifa zao mbili za ubunifu na uchapakazi na kufumbua macho tunapokuwa katika ushirikiano huo.
ReplyDeleteHII KATUNI SAFI SANA KP..SIO KWAMBA KUKASHIFU LAKINI VIONGOZI INABIDI WATAFAKARI KWA NINI MTU AFIKIRIE HUYO RAIS NAYE NI FEKI..INA MAANA NCHI IMEJAA BIDHAA FEKI ZA KICHINA...CHA KUJIULIZA ZIMEINGIAJE..KWA NINI HAMNA VIWANGO VYA KUZUIA BIDHAA DUNI. MFANO MIE NILIENDA AUSTRALIA NA BIDHAA ZOTE MADE IN CHINA KULE NI HIGH QUALITY..KWA NINI HAMNA CHINA MADE LOW QUALITY..INA MAANA NCHI INA SHERIA MAHUSUSI AU VIWANGO AMBAVYO HAVIRUHUSU UINGIZWAJI WA HIZO BIDHAA.. SISI TUNASHINDWA NINI KUWEKA VIWANGO HIVYO PAMOJA NA UMASKINI WETU..JE NI NJAA ZA WALIO KWENYE MAMLAKA AMA? CHINA ASILAUMIWE NA HIZI BIDHAA NAUNGA MKONO WA KULAUMIWA NI NCHI ZINAZORUHUSU HIZI BIDHAA KUINGIA..JE INA MAANA VIONGOZI HAWAFIKIRII BIDHAA BORA KWA WANANCHI WAKE NA KUWEKA TAMAA MBELE..INASIKITISHA.. WE NEED TO CHANGE BIG TIME AND VALUE LIFE. LIFE IS TOO SHORT TO BE WASTED CARELESSNESS..DO WE ONLY THINK ONLY OF OURSELVES INSTEAD OF OUR CHILDRENS AND THE FUTURE GENERATION..TUNAANGAMIZA NCHI ILIYOBARIKIWA KILA AINA YA NEEMA..MITO, MAZIWA, MALIASILI, HALI NZURI YA HEWA, MBUGA ZA WANYAMA NA MENGINE MENGI..CANT WE JUST DECIDE TO MAKE OUR COUNTRY A BETTER PLACE TO BE NA TUACHE SIASA ZA KISHAMBA NA KIUCHOYO.....GOOD DAY
ReplyDeleteanonymous 6:19pm
ReplyDeleteNakuunga mkono.........unaambiwa tembea uone na ustadimbo kama nilivyosema hapo awali kinachohitajika ni viwango tuu maana huku ulaya yamejaa mabidhaa ya china kila kona ila quality ya juu.
unaambiwa ni quality ya europe
mdau netherlands
anonymous 6:19pm
ReplyDeleteNakuunga mkono.........unaambiwa tembea uone na ustadimbo kama nilivyosema hapo awali kinachohitajika ni viwango tuu maana huku ulaya yamejaa mabidhaa ya china kila kona ila quality ya juu.
unaambiwa ni quality ya europe
mdau netherlands
kaka michuzi hapa kuna kitu kimoja naomba niwaweke watu sawa!mimi ni mmbongo nipo hapa china mwaka wa nne sasa.hawa washikaji sio kila kitu chao ni fake, ukweli ni kwamba wanatengeneza vitu kwa madaraja kutoka na uwezo wa masoko yao, sasa kwa kuwa sisi wabongo hela hatuna na hata kama zipo tunapenda vya bei chee basi ndio maana vimelundikana huko kwetu, pili hatuna sera nzuri ya udhibiti ktk kuingiza bidhaa za nje.naweza toa mfano ktk viatu hebu angalia raba yako imeandikwa "made in ..." km sio ila cha ajabu imetokea europe km mtumba, au wachezaji maarufu NBA km Shaq O'Neal au Jason Kid U mshikaji yule wa Houston Battler wote wanavaa miguu ya kichina ktk game zao...
ReplyDeleteKP acha Bangi....excellent thinking and presentation!!! Safi sana KP!!
ReplyDeleteHuyo mbongo aliye China mwaka wa nne sasa namuunga mkono kabisa na wengine wote hapa mnayosema kwa ujumla tuko pamoja. Hivi hata wewe mtanzania uliyeko Marekani, umewahi kununua electronic product yoyote ambayo haina chata ya "Made in China"? Mimi pia sijaona katika miaka yangu mitano hapa Marekani - ipod zote - China; Laptop zote za Apple - China; HP, Dell nk naamini wote pia wanatengenezea China. Si Electronic products tu, hata mavitu mengine mengi. Navyoona mimi, kwa ujumla kila kitu kinachouzwa Wal Mart (ukiacha vyakula) -- Wal Mart kama Retailer nambari wani Marekani yote na Dunia nzima wanavyodai -- ni MADE IN CHINA. Tatizo si China ila ni hapo nchini kwetu na kutokuwa na taratibu makini za kuzuia uingizaji wa vitu vibovu - yes, na wananchi walio wengi kutokuwa na uwezo wa kununua hivyo vitu vya china vyenye viwango.
ReplyDeleteLakini hata hapa Marekani vitu feki vipo japo si sana. Kuna mtu aliwahi kutaka kuniuzia Sony Camcoder kwa staili ya machinga -- nilikuwa Jackson Mississippi na niliona kabisa ilikuwa feki - sikuinunua
Kuna mtu yeyote anayekumbuka simulizi zamani tulikuwa tukisikia kwamba wachina hawaruhusiwi kucheza kombe la dunia sababu wanafanana sana wakienda half time timu itakayorudi itakuwa nyingine?
ReplyDeleteNadhani katuni hii ya Masudi ina inspiration toka kwenye hizo simulizi. Si ajabu kuna watu bado wanaendeleza hizo hadithi mpaka leo - kwamba huyo Raisi aliyekuja sio mwenyewe -- si unajua wachina wanavyofanana saana? Yap, wametuma mtu tu anayefanana na Ndugu Hu!! (Hilo jina nalo jamani - eti "Hu".
Ila kuna Watz wana majina ya kichina - sijui ni tangu utoto au wanayachukua ukubwani. Yule dada wa Blog ya mamanamwana.blogspot.com anaitwa "Jiang" - inanikumbusha "Jiang Zemin" (na mwanae anaitwa Xchyler - kuna mtu anayejua kusoma jina la huyo mtoto wetu wa jamii -Chaikla?, Chaila?, Ksaila?) Au Jiang ni jina la kikabila la kabila fulani? Saidieni hapa pls
hahahahahaaaa uwiiii mbavu zangu yalabi!!
ReplyDeleteJIANG JIBU BASI,,,
ni kweli ni pesa yako tu wanunua bidhaa ya daraja ipi!!so kwa ufisadi wa watu wengi wasio waaminifu Tz ndo wanunua "sklepaz" izo na kutuuzia bongo