Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Yes bwana Michuzi.

    Kuna mtandao mpya wa wasomi wote wa kitanzania popote pale walipo duniani. Ni wa maswala ya kielimu na kwa maendeleo ya Taifa letu changa Tanzania. Jina lake ni: www.varsitycollegetz.ning.com

    Tusaidie kuutangaza huu mtandao.

    Ahsante

    ReplyDelete
  2. KP, wot a yu toking abaut?
    Mbona si mzalendo wewe?
    Maana yake nini kulibeza kandanda letu kama hivi?
    Mpaka kitokee nini uone kwamba timu letu la Taifa linastahili heshima?
    Au nawe umeshajipachika usenene? maana wabongo wachache kazi yao ndio hiyo, huna jema utakalofanya wakakupongeza.
    Isiwe taabu kwamba wewe ni mchora vikatuni, iwe taabu kubeza wale wanaofanya jitihada katika majukumu yao. Na timu letu la Taifa ni mfano bora kwa sasa, labda kuliko wakati mwengine wowote katika historia.
    Ni utovu wa shukrani na apresiesheni kwa yoyote anaenyanyua kinywa chake kuiponda timu yetu ya sasa ya taifa, hata awe KP.
    Tunawaamini vijana wetu, na chochote kitachotokea tutawasifu na kuwapongeza sana vijana hao.
    Kama wewe ni mzoea kutafuta visingizio, kp, huo ni mtindo wako peke yako. Taifa staz yetu ya sasa haina haja ya kutafuta visingizio, inao uwezo wa kutosha kutuwakilisha.
    VIJANA WETU MSISIKILIZE MASESENE, WAKILISHENI VEMA TAIFA LETU.
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  3. kp hapa umechemka sana ndugu,sasa hivi ni wakati wa kusifia na kuwapa moyo vijana wetu sio kuleta maneno ya kukatisha tamaa,eti nimesahau kitabu cha visingizio,acha usenene mkuu,kwa maana hiyo umeshaiwekea asilimia 100 ya kuwa itafungwa ,je ikishinda:weka mbele maslahi ya taifa , kisifie chako ,acha kuendekeza vya watu.Nimekumaindi sana mtu wangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...