Home
Unlabelled
live from abidjan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
watch live online www.tv.abidjan.net
ReplyDeleteMpira unaendelea Senegal 1 Tz 0
ReplyDeletehttp://tv.abidjan.net/
Kipindi cha kwanza kimeisha Senegal 1 Tanzania 0.
ReplyDeleteKipa wa Senegal yuko likizo maana Taifa stars hawaingii ndani ya 18 ya Senegal wala Taifa stars hakuna krosi, au watu kupanda kwa kutumia wingers au walinzi wa pembeni kina Shadrack.
Kwa kifupi Senegal wana hamisha mpira toka upande mmoja wa uwanja kwenda upande mwingine wanavyotaka. Ila Taifa stars imewaonjesha wachezaji wa Senegal machela za huduma ya kwanza mara kibao na kupelekea wapate huduma nje ya pitch.
Mbona bendera ya Tanganyika, msitutenge jamani sisi wazanzibar !!
ReplyDeleteZAMBIA WAMEIPIGA IVORY COAST 3-0. HAWA SI TUNAWAWEZA? SI WALISHINDWA KWENYE CHALLENGE KAMA SIYE? HAYA KAZI KWETU.
ReplyDeleteama kweli kaka michuzi quality is better than quantity.
ReplyDeleteSenegal wanatufunga. Hii aibu kubwa.
ReplyDeleteMzee mbona hubandiki update? au ndo jamaa wametuua nini?
ReplyDeletefuatilieni live mechi kwenye TV hii.....
ReplyDeletehttp://wwitv.com/portal.htm?http://wwitv.com/television/index.html?http://wwitv.com/tv_channels/b5059.htm
toka kwa Madiba!
Cape Town.."the Cape of Good Hope"
Shukrani kwa Mr. Supu na wote waliotupatia links za mpira huu. Ingawa tumefungwa, mpira umenifurahisha. Ila tunakosa football agressiveness (sio hooliganism)na ndio maana tunafungwa. Angalia jamaa wanavyoanguka na kudai fouls against etc
ReplyDeleteBao pekee la Traore Mamadou wa Senegal ktk kipindi cha kwanza kwa kichwa limeizamisha Tanzania.
ReplyDeleteMpaka mwisho wa mchezo matokeo ni Senegal 1 Tanzania 0.
Kipindi cha kwanza wachezaji wa Taifa hawa kujituma sana. Ila Kuanzia dakika ya 78 ya mchezo Taifa Stars walionyesha kujituma, labda baada ya kutambua ukweli kufika Abidjan Ivory Coast haina maana wamejipatia usajili wa kuonekana na timu za ulaya kama hawataonyesha vitu vya ziada ndani ya dakika 90.
daaah hii noma tumelambwa bao aibu lakini ndo mchezo wasoccer ukubali kushinda na kushindwa japo inauma
ReplyDeletetoka kwa mdau wa stellenbosch wine land capestad
Wabongo bwana. Kuna wadau wanadai kwamba eti timu imeathirika na ganja kuwekewa vikwazo.
ReplyDeleteTanzania tunaongoza kwa ubwege duniani.
ReplyDeleteEti jamaa wengine wanadai "ooh..Usiku jamaa walitutembelea vitandani..".Hahahaha.Msijali sana bado tuna mechi za kurekebisha makosa. Kazeni buti vijana wa JK mechi zijazo tushinde zote. Zambia na Ivory cost tunawamudu
ReplyDeleteSasa Bro Michuzi naomba nisaidie kitu kimoja. Kama nakumbuka vizuri Kuna jamaa mmoja anaitwa Mtikila, enzi hizo alipokuwa "hai kisiasa" wanasiasa wengine na viongozi wetu walikuwa wakimpinga sana kutumia hii bendera ya Tanganyika. Hivi sasa hili suala limekaaje? Maana naiona inapepea pale kwenye jukwaa la Watanzania.Sasa hii sio kwamba hizi ni dalili za kuanzisha Utanganyika na kuanza kukubaliana na Mtikila na wenzake akina Njelu Kasaka? au ni alama tu ya kuonesha kuwa hii timu inayocheza hai include Zanzibar? Je huku sio kuwachanganya watu wengine duniani ambao wamezoea kuona bendera yenye rangi nne?.....mimi sio mwana siasa, but I'm just thinking aloud. Jameni Mi nimiulizi tuooo...Ten penyewi hapa mkianzi kunishambulii wala mi siwajiboni...mi nitabanish kimya mbaka wenyewi mtachoki!!!
ReplyDeleteHahahaha
Mdau
Cardiff
Hao washabiki wanatakiwa kushtakiwa kabisa waliopeleka hiyo bendera mie ni mtanzania bara hakuna kitu kama bendera ya tanzania Bara kaeni ukijuwa hiyo ni bendera ya tanganyika na tanganyika haipo tena.
ReplyDeleteKaka Nashukuru nimepata jibu. ile haikuwa bendera ya Tanganinyika wala bara, ni bendera ya TZ kamili.Kumbe ni mpiga picha ndiye aliyechemsha, kamera yake ilikuwa na makengeza. Mwambie asirudie tena kosa kama hilo siku nyingine ebo!
ReplyDeleteMdau
Cardiff
sio bendera ya taifa hiyo ni rangi tu
ReplyDeleteuwiiiiiiiiiii sina mbavu
ReplyDeletebendera ya tanganyika hahahaa zanzibar sii mnayo yenu tena na timu yenu ya soccer?
so msijali iyo ni tanganyika,na nyie mkienda soccer peperusheni yenu ya zenji
BENDERA YA TANGANYIKA OYEEEEEE