Form Six Zanaki wakishangilia na kupongezana kumaliza shule
Dada Mkuu wa Zanaki, Sarah Shillah( kulia ) na Dada Mkuu msaidizi Frida Francis
Dada wa EGM, Zanaki, Irene Stanley, akizawadiwa

Dada wa HGL, Zanaki, Joyce Kasoni, akizawadiwa


Dada wa KLF, Zanaki, Salma Kiombile, akizawadiwa.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Zanaki, Bibi Selina Lymo, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa (NAO), alikuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 26 ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Zanaki Dar leo. Katika picha wanaonekana kulia ni Mjumbe wa Bodi ya Shule hiyo, Bw. Pius Maneno na Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo Mama Rehema Tunzo. Picha na Habari na mdau Paschal Mayalla wa PPR.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Aahh sijaona PCB wala PCM inamana hakuna hizo combinations hapo zanaki?

    ReplyDelete
  2. MAHAFALI YA 26? SINA UHAKIKA KWANI ZANALI IMEEANZA 1980? NAKUMBUKA KAMA WAKATI NIPO PRIMARY MIAKA YA 1970s ILIKUWEPO!

    ReplyDelete
  3. kumaliza???Ngwe ndio kwanza inaanza....kama ni safari bado ipo kubwa tu....hongera zao lkn

    ReplyDelete
  4. Ndio Maana yake hakuna PCB wala PCM hizo zipo pale Jangwani

    ReplyDelete
  5. heeeee headmistress mwingine??mama mramba wapi?
    duh mabinti wamewiva ile kinoma,karibun duniani bintiz tupo tunawasubiri sie mafataki tu,,,mana siku izi ata seco hamjatulia
    hahahaaaaa

    ReplyDelete
  6. mafataki tupo mtusafishe magonjwa

    ReplyDelete
  7. duuu zanaki shule yangu nilikuwa hapo o level mwanzoni mwa miaka ya 90 kama utakumbuka kina martha kente,kinahivi mwl shemgilo yupo,basmark

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...