Mama Salma Kikwete akifuatilia kwa makini mkutano wa Wake wa Marais uliofanyika kwenye jengo la AU Mjini Addis Ababa Ethiopia
Mama Salma Kikwete Akiwa kwenye picha ya pamoja na Wake wa Rais mbele ya
Jengo la AU Mjini Addis Ababa
Mama Salma Kikwete pamoja na Mke wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Mama Azeb Mestin wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wanakwaya wa Chuo Kikuu cha YARED MUSIC SCHOOL Walipotumbuiza wakati wa mkutano wa Wake wa Marais uliofanyika kwenye Jengo la Makao makuu ya AU mjini Addis Ababa, Ethiopia. Picha na mdau Juma Kengele wa Ikulu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. WADAU NAOMBA MNIELEWESHE HIVI NINI ROLE YA WAKE ZA MARAISI WA AFRIKA KATIKA MASUALA YA AFRIKA!

    ReplyDelete
  2. Namfagilia sana Mama yetu wa Kwanza,yupo vizuri na anawakilisha vizuri wanawake wa TZ in every department.Hongera sana mama na uendelee hivyo hivyo.
    Cha chandu - UK

    ReplyDelete
  3. 1st lady umenona, umewaka, unameremeta waaaa.

    ReplyDelete
  4. Mlienda kula raha tu...no maendeleo kabisa.

    ReplyDelete
  5. wake za marais africa hawana any job description,ata ceremonial hakuna,yan ni kama tu wasindikizaji wa waume zao ukiwa mwanamke msomi/degreez mke wa rais ujue ndo unaishia kufungua tu NGOs,professional yako waiacha,sijui kwanini hawapangiwi kazi za kiofisi km mabara mengine!!
    ndo wanaishia kutalii tuuuu kama apo pamoja na picha za wanakwaya
    maana hatujaambiwa aswa ni nini agenda za kikao icho kwa lengo lipi aswa!!
    HAWANA KAZI MAALUMU,WAPOWAPO TU

    ReplyDelete
  6. TOTOZ ZA KIABESHI MWAZIONA!

    ReplyDelete
  7. sasa kilokuvutia nywele au rangi ya ngozi??ugonjwa wako upi apo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...