Home
Unlabelled
mama ndolanga hatunaye tena
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole sana bwana Ndolonga kwa kufiwa na mkeo. MUNGU ailaze roho ya mama yetu mpendwa mahali pema peponi AMIN.
ReplyDeleteMungu awajalie nguvu na ujasiri wewe pamoja na ndugu wote wa marehemu katika kipindi hiki kigumu
jamani auntie yangu. kweli unarudi kwenye boksi? uchungu tulio nao haulezeki. Poleni kaka zangu na wadogo zangu
ReplyDeleteRIP Mama Ndolanga, we will miss you terribly. Mungu awape nguvu na amani watoto wa marehemu, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu. Amin.
ReplyDeletePoleni sana nduguzangu.Kazi ya MUNGU inshaalah.
ReplyDeletePoleni sana familia ya ndolanga, mama ndolanga nilipata kumuona mara moja pale katika ukumbi wa diamond jubelee, hakunifahamu sikumfahamu ila tuliketi jirani nae na alizungumza nami kama vile alinijua siku nyingi, kwangu mimi alikuwa mama mwenye upendo na bila majivuno. Mungu ilaze roho ya marehemu pema peponi, Amen.
ReplyDeletepicha ya marehemu ipo wapi? huyu ni mama yake na salum au
ReplyDeleteR.I.P Mamake Alhaj Ndolanga.
ReplyDeleteInna Lilah waina Ilaihi Rajiuun.
Poleni sana jamani. Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi. Mama ulikuwa mcheshi sana huna majivuno, mvumilivu, jasiri,na uliyejua kupambana na maisha. Kwa kweli ni huzuni sana. Poleni sana watoto, Baba Sofia pole sana kwa kuondokewa na dada yako.
ReplyDeletePole sana fammilia ya Ndolanda na Marehemu alazwe mahali pema peponi.
ReplyDeleteNilitaka kujua huyu aliye fariki ni mama yake Salum? tulikaa nao Oysterbay zamani sasa sijui ni yeye au maana hapo picha haionekani .
Pole sana wafiwa. Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi. Naomba simu ya Mariamu (Mama Mdogo). Anapatikana wapi??
ReplyDeleteKaka Michuzi, naamini kabisa mama Ndolanga alikuwa na jina lake na la ubini kabla hajawa mama Ndolanga. Ni vizuri ukatuandikia majina kamili ya individuals hata kama waliolewa miaka 100 iliyopita. Please!
ReplyDelete