Mama Salma Kikwete akimpongeza msanii chipukizi Zinduna Mohamed kutoka kikundi cha St.Camillus youth Centre kilichopo jijini Dar esSalaam baada ya kufanya onyesho fupi linalohusu unyanyasaji wa kijinsia wanaofanyiwa watoto wa kike na kuwanyima fursa ya kujiendeleza kielimu.Onyesho hilo lilifanyika katika Hoteli ya Golden Tulip kwenye Warsha ya vita dhidi ya ukimwi lilioandaliwa na taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) .Warsha hiyo ilifunguliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa UNFPA Thoraya Obaid aliyesimama katikati ya Mama Salma na msanii Zinduna

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Ist lady anatoka nyoko haswa...ila diet kidogo tu atakua bomba zaidi
    Mdau Houston

    ReplyDelete
  2. Mama Kikwete mimi binafsi nakufagilia sana.Pamoja na shughuli unakuwa 'bize' na shughuli za kijamii pia(That is the way it should be siyo eti mke wa rais anakuwa bina na NGO na biashara IKULU-No ethics.Keep it up mamaaa,we luv you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...