Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiongea leo na vyombo vya habari juu ya Vodacom Foundation itakavyosherehekea siku maalumu tarehe 26 mwezi huu na kutoa misaada ya vyombo vya afya katika hospitali mbalimbali hapa nchini.Na sherehe hizo zitasherehekewa duniani pote.(kulia)Manager wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule,(kushoto)Afisa wa Vodacom Foundation Linda Mwakalyelye.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Du hii Kampuni ni ya Kina Mwalyafyale nini maana naona Mwakifulefule mara Mwakalyelye,Bado Mwabuponde hajatokea AU Meneja Mwajiri ni wa pale pale Mbombo nkafu anatoka poti, Natania hawa watu kwao wamepiga shule bwana simchezo

    ReplyDelete
  2. Mzee Makamba amelea watoto wake vizuri.
    Kama kuna mtu anatafuta mfano wa kuiga ndo huo na wala si majungu.
    Muangalie dada hapa anawakilisha kama kaka January .
    Na wala si mapande wala nini ,
    PELEKENI WATOTO SHULEEEE WACHENI MAJUNGU !


    Mdau Kaima

    ReplyDelete
  3. Duuuuuhhhhh!!!!, Kwani huyu Yessaya alilazimishwa kwenda kwenye hio press release????? Bwanaaa kuna kitu kinaitwa tabasamu, na hata kama sio genuine, ile plastic smile ya wenzetu inafana pia.

    ReplyDelete
  4. Duuuuuhhhhh!!!!, Kwani huyu Yessaya alilazimishwa kwenda kwenye hio press release????? Bwanaaa kuna kitu kinaitwa tabasamu, na hata kama sio genuine, ile plastic smile ya wenzetu inafana pia.

    ReplyDelete
  5. WHAAAAAAAAAAAAAAAAT?THESE TWO FACES MWAVITA & YESSAYA?
    hahahahaaa duh!!
    ivi iyo idara/mfuko washughulikia nini aswa,mission&vision,objectives

    aya

    ReplyDelete
  6. MTABURUZWA NA WATOTO WA VIGOGO MPAKA MKOME. KILA SIKU NIKIANGALIA BLOG ZA BONGO WATOTO WA VIGOGO NDIO MAMENEJA NK. Mwe!!! Hii Hatari.
    Kama kusoma hawajasoma peke yao bwana, mlimani wanamaliza vijana kibao tu...vnyadhifa watashika lini?? Namna hiyo mabadiliko yatakujaje kama mambo yenyewe ndio LIKE FATHER LIKE SUN!!!

    Mdau LA.

    ReplyDelete
  7. Wadau... huyo aliyekaa upande wa kushoto wabongo siku hizi tunaita dili...

    (ni utani lakini msimaindi eh)

    ReplyDelete
  8. Mdau LA,
    Usiposoma utabeba mabox mpaka mwisho wa dunia!
    kama unatafuta excuses zipo kibao !
    Lets wake up guys,opportunities ni za kumwaga tu hata watoto wa vigogo wakipewa nafasi zoooote bado hawatazimaliza.
    TWENDENI SHULEEEEEE !
    Si tunakesha kwenye mabaa tu na kununua pamba na bling bling za magari mabovu (politiki)!
    TWENDENI SHULEEEEEE POPOTE TULIPO!
    YES WE CAN

    Mdau Kaima wa UK

    ReplyDelete
  9. Anony 5:42 ulimaanisha Press Conference au hiyo hiyo Press Release?

    ReplyDelete
  10. Wewe anony wa Feb 24 9:29 pm, You are a moron, an imbecile. Huna akili hata moja. I doubt kwenu hata mmoja hajakwenda shule. Wewe watu wanakufa wewe unaona ni issue ya kufanyia utani? Starehe ya baba yako!! You need to apologize for your very existence.
    People!, this crisis stopped being funny a long time ago and the sooner we take it very seriously, the better.

    Mdau, Boston, US.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...