Home
Unlabelled
mambo ya gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Good work Mr.Gado. How can one (especially L.Nkunda) be "safely" under arrest? Under the custody of P.Kagame? Your insinuative message in the form of comic strip teaches many.
ReplyDeleteChanga la Macho hilo Kagame ametupiga. Nkunda ni cousin wake kabisaaaa nani asiyejua???
ReplyDeleteKagame amecheza hapo. unajua FDLR imekuwa ikiwaumisha vichwa hao majirani zetu wawili na njia pekee ilikuwa ni hiyo. KUTUZUGA. Haya bwana. hiyo ndo siasa.
ReplyDeletesasa wote wawili wapo kule kama mwanzo. sijui Joseph utakwenda wapi? walinzi wako umeshauza.
KAGAME HANA LOLOTE LA KUTUELEZA DUNIANI, ALISABIBISHA MAUAJI YA HARAIKI RWANDA, NA HAONI UCHUNGU WA KUFANYA HIVYO DRC, HUYU NKUNDA HAPA YUPO NYUMBANI KWA BABA YAKE NA MAMA YAKE. HAMNA SEHEMU YA USALAMA KWA NKUNDA DUNIANI ZAIDI YA RWANDA...
ReplyDeleteKAMA KWELI KAGAME NI MKWELI AMKABIDHI KWA DRC KWANI NDIO WALIOTOA ARREST WARRANT NA SIYO RWANDA.
DRC TUNAJUA ILIUZWA BAADA YA KIFO CHA LAURENT KABILA, MWANAMAPINDUZI ALIYEPENDWA NA WAPENDA AMANI DUNIANI KOTE. HAPA SIMANISHI MAMLUKI WA ULAYA NA AMERIKA,RWANDA NA UGANDA, NAMANISHA WATU WENYE MAPENZI MEMA KWA WAKONGO.
KINACHO SIKITISHA NI HUYU "ZERO HEADED" JOSEPH KABILA, AMBAYE ANAWEZA KURUHUSU UVAMIZI NCHINI KWAKE BILA HATA YA KURIHUSISHA BUNGE LA NCHI HIYO. ANAWATII WALIOMUWEKA MADARAKANI NA AKINA KAGAME WANAOTAFUTA MASLAHI YAO.
NILIFIKIRI ANAMAWAZO MAZURI...LAKINI IS REALLY ZERO HEADED, KULIKO UONGOZWE NA HUYU MJINGA AFADHARI UWE KATIKA NCHI AMBAYO HAINA SERIKARI....HE IS SECOND TO NOTHING.
MUNGU WABARIKI WAKONGO, WAMETESEKA VYA KUTOSHA NA SIDHANI KAMA WANASITAHIRI HUU UCHAFU....HATA KAMA MUNGU UNACHAGUA VIONGOZI! WATAFUTIE MWENYE BUSARA NA HEKIMA...SIYO HUYU MKAA KIMYA ASIYEWEZA HATA KUELEZA ANACHOFIKIRIA ZAIDI YA KUFANYA MAAMUZI KWA MATAKWA YA MAADUI WAKONGO....POLENI NDUGU ZANGU WAKONGO.