
well I have registered to this site and i am like i should also share it with you There is a totally new way of making money. you make money by just receiving email advertisements. Yes, that easy. It's true! And it doesn't cost you a cent!
Also there are surveys that pay really good if you participate. You get your money via Airtime credit transfer or other methods you choose, very interesting!
I have already joined the website. Click the link below or copy and paste to your browserits amazing! nashukuru kaka yangu mimi nimeipenda sana naomba wape wanajamii hapa nao wafaidike
Mdau wa Globu ya Jamii
UMESHAPATA PESA BEI GANI? IS SUCH A SIMPLE WAY TO MAKE MONEY! IT IS TOO GOOD TO BE REAL! DOES THE WEBSITE ENCRYPTS PEOPLE INFORMATION? MAANA KUNAMAJAMBAZI KWENYE NET, WATALIZA WATU. MNAWAJUWA WAPOPO, WATAKULA KWA ULAINI.
ReplyDeletebinafsi sishauri. nani hapendi pesa na kwa nini iwe simpo kwa kutuma au kutumiwa ujumbe? wao wanapata nini kutokana na ujumbe huo. hizo pesa zinakwenda wapi? kwenye akaunti au ni cheki?
ReplyDeletendugu tuweni makini.
Duuuhh! huyu mwanajamii ananikumbusha jamaa anaitwa F.S.M wa Marekani aliwahi kutuletea na yeye kitu kama hicho hicho akidai kinaitwa Agloco.com kinachofanza mambo ya hela. Kuna watu wamejaribu na hadi sasa hakuna kinachoeleweka. Jamani tufahamishane vizuri tusije ingia katika mikono ya Wa-west na Wahindi. But good try tell us how much money you're making now.
ReplyDeleteanother ponzy scheme
ReplyDeleteMwizi huwaza kuibiwa tu! Acheni mawazo hayo..
ReplyDeletehapa USA ni kawaida sana kupata hizo surveys za online, nakumbuka mwaka juzi nilikuwa pale Katumba Bar Kinondoni akaja dada mrembo ananiuliza nakunywa bia gani kisha ajaze form yake (that pretty chick was surveying me indirectly) nikamwambia hii ni info na info ni business kama anataka atoe pesa ya bia ajue nakunywa bia gani
Guys get used to online things, hapa hata votes unapiga online, yani obama amechaguliwa na watu wasio hapa kwa online pia, if you cant trust kajikampuni ka hapo kwenu (sorry, I mean ka hapo kwetu) je ukija huku si utaduwaa)
sijagarantii wanalipa but huwezi kuwa mjanja kuogopa kuibiwa wakati huwachangishi pesa.
Santarino
mimi nipo agloco.com na nimeshakula ela mbona, sijui inakuwaje kwa hiyo ya bongo ila nimeshajiunga, ponzy huwa inataka wewe utoe pesa, sijaona wanataka utoe pesa, kama hujajiunga jiunge tu maana wao ni agency, mi nimeweka namba ya dogo atapokea yeye hizo credit.
ReplyDeleteIndia hapa kuna such games but sheria za hapa (au niseme watu kwa ujumla) hawana mawazo ya kitapeli na huwa mtu akishindwa ananyoosha mikono tu anakusanya virago vyake
ReplyDeleteanoni wa February 04, 2009 1:23 AM heri umesema ni mawazo yako ila mi noana dunia inakwenda online zaidi na kuogopa online ni kweli utakwama. ila hata bongo mbona mi natumia kadi ya crdb na nalipa online, ni kweli watu wakipata namba zako za siri (PIN) umelambwa kila kitu ila utaogopa online hadi lini, Mumbai kuna sehemu hawapokei keshi, hii ni india je huko mbele
mi sijajiunga maana siwezi kupokea airtime wamesema credits ni kwa TZ tu ila nashauri kucheki vitu km hivi, sometimes vinapunguza njaa
anon unayeuliza wanapata wapi ela site yao inaeleza na ina kiswahili, soma acha kutegemea maoni ya wanajamii
Ni Kweli jamaa wanalipa bwana, nimejiunga nimeinvite watu wangu nikajikuta kama utani salio linapanda tu
ReplyDeleteKuhusu pesa zinatoka wapi ni kwamba wanakutumia matangazo kisha wanamchaji yule anayetangaza na ile pesa wanagawana nawe, kwaio ni kwamba wanakula nawe, nadhani si utapeli ni njia ya kupata visitors katika website
akili nyingi kwweli mi nosoma IT nawaza nitoke vip maana naona kila kitu kishafanyika tz si kitoto
DOES THE WEBSITE ENCRYPTS PEOPLE INFORMATION?
ReplyDeletemchangiaji wa kwanza bwana yani m hadi nacheka, unaonaje ukijifunza lugha kwanza kabla hujaponda vitu
eti hicho hapo si kiingereza hata kidogo labda kiganda
Mi nna offline ela za kutosha I am not interested na ishu za online ila nsingeponda kwa kuwa napenda kujifunza, site kama ina encrypt unamuuliza michuzi ama sisi?
WaTZ raha sana japo kiingereza cha ugoko!
mhh michuzi kabla ya kupost mambo ya ela mwana si ingekuwa poa uwe unaulizia ama kujua undani maaana ishu ipo wazi kuwa hili ni gazeti na ikiwa ya kubuma si tunakung'ata wewe, tutagawana fulanaz hiyo!
ReplyDeleteHivi mnajua yahuu waarabu? teh teh teh we unatumia tu yahuu bure, watumia vya bure tu weye.... ushawaza kuibiwa na vitu kibao unataja katika email yako na wakati mwingine unaeleza cv zako na kuzituma kwa yahuu ? kila mtu yahoo yahuu au kwa vile wazungu? ngoja siku mtasikia moto, watz kuaribiana ndio zenu, na itabaki hivi hivi tz hakuna maendeleo
ReplyDeleteWaacheni jamaa wanajaribu namna ya kuapata mkate wao wa kila siku mnawakatisha tamaa, we una hela gani za kuibiwa bwana? Nkabebe zangu boksi mie maana nimetoka ktk ugomvi jamaa wamemwita shoga wakati ana mtoto huko tandika!
TUNAJUWA KURA HUPIGWA ONLINE SI AMERIKA TU HATA NCHI ZINGNE ZA ULAYA, PIA HATA KWA NJIA YA BARUA KUPITIA POSTA IN ADVANCE HIYO SI TIJA, WIZI ONLINE UPO SANA TU SI LAZMA HAWE YEYE HATA THIRD PART ANAWEZA KUIBA KAMA INFORMATION ZA WATU HAZIJALINDWA KIUTAALAMU.
ReplyDeleteDuu hii sasa kali!
ReplyDeletengoja tujaribu zali la zalumendra
Jamani kuna aliyejiunga atuambie inakuwaje maana wengine kunguru sie,mbawa zetu shaaa!
ReplyDeleteMbishi utamjua tu, anon wa 7:39 unaposema INFORMATION ZA WATU Unamaanisha nini?
ReplyDeletetujulishe tujue infomation gani maana kama ni majina kila mtu ana jina langu, kama ni ATM card mi nna PIN yangu, kama email addresss nimeshajiunga sites kama mia za kudownload n.k na nina email adrs kama nane moja ya demuangu tu na best zake, moja ya vyuo, moja ya ofisini na moja ya kuzingua blogs na social sites, information gani unaongelea? kuwa general unakimbia kitu, kuwa specifiki!
mimi nimejiunga jana na kula sign up bonus, tatizo kutoa ni kuanzia buku nasubiri ifike, nimechatchat na nikapata kama shingi 24, (tiny dime) ila it works, nawait ifike buku nidai changu then ndio nije kuleta kizaa, nyie mnaponda english umeona jamaa wa kiswahili hapo TUNAJUWA...NCHI ZINGINE...SIO LAZIMA HAWE YEYE
ReplyDeleteni burudani tosha, michuzi oyeeee
mi mvivu kusoma bwana, kwani kujiunga hizo hisa bei gani?
ReplyDeletewaswahili bwana kwa hiyo nani akusomee??
ReplyDeleteusitufanye wajinga
hii ni revenue sharing program kama wewe unavyomsomesha mwanao ili akusaidie, sijui kutoa mifano ila ni mtindo wa kugawana faida wao wanatuma hayo matangazo kwako kisha mnashea hiyo pesa wanaingiza, bila wewe hao hawana ela bila ela wewe hutapenda kupokea matangazo, mchezo kwisha!
huu ni udanganyifu tu. hakuna lolote. mambo kama haya yamekwisha fanywa na wanigerians kwa muda mrefu na waliojiingiza kwa uroho waliishia kupoteza pesa zao. jamani msijedanganyike na wenyekusema wanafaidika hawa ndio wenyewe. wanajisingizia wamejiunga na kupata faida ili nasi tujiunge.
ReplyDeleteni kweli inaweza kuwa ni hao hao wanasema wamepata faida ila mbona sasa principally sijaona naibiwa vipi, wewe princelee ulieleta mada si ungetuambia? maana kuibiwa ni pale ninapoingiza mtaji hapa naona hakuna mtaji ni emeli yangu tu ambayo nimeitengeneza bila jasho, tuelezane kipoint jamani au kuna hacker anayeweza kuja gmail inbox yangu? yani amewashinda google? sio bongo hiyo
ReplyDelete