Huwezi kujua jamaa alikuwa anawaza nini wakati anaapishwa

"...Duh ningekuwa mimi namuapisha mtu hapa"

"..Sijui nimnase kibao na ujinga wenyewe uishe"

"..Duh mshkaji kazeeka angeniachia mimi tuu"


Mdau Kuala Lumpur

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. WALLAH SIJUI WATU HUWA MNAFKIKIRIA NINI HAKI YA MUNGU DUH NIMECHESA SANA

    ReplyDelete
  2. anasema "duh mzee baki jaribu usisinzie, mpaka nimalize kiapo"

    ReplyDelete
  3. Mugabe kawapiga bao la kisigino waliotaka kumng'oa madarakani. Huu ni mwanzo mzuri kwani mwisho matatizo ya Zimbabwe yatamalizwa na wazimbabwe wenyewe na siyo wazungu ambao siku zote wanatuona waafrika tupo kwa ajili ya kuwatumikia wao ili waishi vizuri hapa duniani.

    ReplyDelete
  4. HUYU JAMBAZI MUGABE AMAFANYA USENE KWA WAZIMBABWE KWA SABABU NYERERE HAYUPO, MZEE MZIMA ANGEKUWEPO, AZINGECHEZA KABISA

    HAKI YA MAAMA YANGU, MZEE ANGETUMA WATU WAZIMA TOKA JKT MGULANI, WANGETEMBEZA MBOKO, HAYA MAJITU MAJINGA MAJINGA YANGEKOKA NA KA MUGABE KAO, HAKI YA MAMA WALAHI

    MUTU KAMA HII YA MUGAME, YANATAHITAJI KUPELEKWA KEKO KWENYE KARANDINGA, NA MAGARI YA VING'ORA SITA MBELE, HAPO NDO ANGEKOMA ADABU

    ALAANIWE DIKTETA, ROBERT MUGABE
    ALAANIWE

    ZIDUMU FIKRA ZA MWANZILISHI WA CCMHAYATI MWL. JK NYERERE
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
    ZIDUMU

    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
    KIDUMU

    KIDUMU FIRKA ZA LAIS MTARAJIWA 2015
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU 2015
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA WAZIRI WA UREMBO 2015 JOKETI,
    ZIDUMU !

    MASENENE WOTE WAKAFIE HUKO U.S.A NA U.K. WABEBE BOXI HADI WAFE KWENYE SHIFTI NA UROHO MBAYA

    MKEREKETWA, YOMBO VITUKA !!!!
    DAKIKA 30 ZIMEKWISHA

    ReplyDelete
  5. Hi bro Michuzi ,

    Mimi nadhani hii option ya power sharing deals inaua demokrasia ya haki and ukweli hapa Africa, imagine uchaguzi ujao utakapofika nani atasema kaleta maendeleo Zimbabwe/Kenya maana wote wapo katika serikali moja. Imekaa vibaya na inaweza ikatukanganya hata sisi hapa Bongo kama hawa wanaojiita wanasiasa wakisubiri wapate madaraka kiubwete hivi( Mdau Michuzi anzisha mada juu hili maana kuna vyama vimejipanga eti matokeo yakitangazwa uchaguzi ujao wakimbilie UN , AU na pengineko kulaamika)waambie waanze kupambana na system ya uchaguzi mapema na sio kujibweteka na kusubiri chaguzi ndogo kule Mbeya na Tarme ndo tunawasikia. Africa wake up , tukubali kushindwa na tusitumie michezo michafu kwenye chaguzi zetu , tuige mifano ya chaguzi za wenzetu , kama kule US brother JB aliposhindwa kakubali yaishe na kuahidi kutoa suppurt kubwa kwa serikali ya Mmatumbi...

    ReplyDelete
  6. Nahisi Morgan anasema "We kibabu achia ngazi kamfuate huyo mke Grace akakukande na maji ya moto. Aagh kwa umri wako huisikii baridi?"

    ReplyDelete
  7. WE PRAY,,,,AMEN

    ReplyDelete
  8. kWANI HILO LA KUGAWANA MADARAKA NALO SI NI SHINIKIZO LA WAZUNGU.Unaposema wazimbabwe wenyewe ndio watamaliza matatizo yao una maana gani.

    Wazimbabwe wameshindwa kumaliza matatizo yao ndio maana wanahara mfulululizo kwa kipindupindu na mfumuko wa bei wameshindwa kuudhibiti na uchumi uko shaghala baghala sababu wazimbabwe hawajui wamalize vipi matatizo yao.

    Wazimbabwe walikuwa na nyodo sana tuliwasaidia kupigania uhuru uchumi wao ulipokuwa mzuri wakawa wanatucheka na kutudharau sana watanzania.Sijaona watu waliokuwa wamejaa dharau kwa watanzania mambo yao yalipokuwa mazuri kiuchumi,kielimu n.k kama wazimbabwe.Sasa hivi nyodo hizo wanazo na waganda.Huwa wanawaona watanzania kama wajinga fulani pamoja na kuwasaidia kumwondoa Idd AMIN.

    Watanzania wengi kwa sababu ya dharau za waganda wengi wameamua kutowapeleka watoto wao kusoma Uganda wanawasomesha Kenya.

    Ndio maana hata wakati huu wa matatizo yao ya kiuchumi nchi nyingi zilizowasaidia ikiwemo Tanzania waliamua kuwaacha waendelee kuharisha kipindupindu chao bila kuwasaidia.Wamesuswa na kila mpigania uhuru aliye nje ya zimbabwe aliyekuwa akiwaunga mkono zamani sababu ya dharau zao walipokuwa wanacho wakawa wanatuona kuwa sisi hatujaendelee kwa kuwa ni mabwege.

    Wazimbabwe wengi wanapenda kuja Tanzania lakini hakuna mwenye haja nao tena.Si msumbiji,si nambia,si afrika ya kusini,si wapi wote wanawajua wazimbabwe kuwa walijiona wamefika na kuwaona nchi za wenzao kama wajinga fulani hivi.

    ReplyDelete
  9. Ndugu Michu, hongera kwa kazi nzuri ya kutuuunganisha katika kijiwe hiki cha kupeana mawazo mbadala kwa mambo mbalimbali.

    Nadhani ni wakati muafaka WANAHABARI MKAACHA KUTUMIA MANENO YANAYOCHOCHEA/KUHIMIZA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA NA WIZI katika nafasi za uongozi. Uongozi ni jukumu zito sana, hata katika ngazi ya Familia tu ni mtanange tosha.
    Imekuwa kawaida sana kusikia waTZ wakimpongeza mtu kwamba KAULA kwa kupewa jukumu muhimu ktk jamii. Sielewi mantiki katika hili zaidi ya kumshawishi mhusika kuamini kwamaba Kumbe nafasi aliyopewa sio kufanya kazi bali KULA kila kilichopo. Neno KUULA linaashiria TAMAA ya wengi katika matumizi mabaya ya nafasi zao kufanikisha mambo kwa njia za mkato.
    Nadhani tunawajengea watoto wetu MSINGI MBAYA SANA WA KUAMINI UONGOZI MAANA YAKE NI KULA NA KUSTAREHE kwa gharama ya walipa kodi.
    Tuisaidie jamii kubadilika hasa watoto wetu maana yawezekana sisi tumeshakuwa SUGU kwa mazoea mabaya, tusiwarithishe watoto TAMAA, WIZI, KUTOJALI, KUTOWAJIBIKA, KUTODADISI nk, nk. maana dunia yao haitawapa nafasi ya kufanya madudu hayo bila kuadhibiwa ipasavyo, haitawapa KINGA kwa misingi ya MALI au Madaraka kama tuonavyo sasa.
    TUBADILIKE TUJENGE JAMII BORA KWA KUHIMIZA MATUMIZI YA MANENO YAONYESHAYO DHAMANA NA WAJIBU, sio KUULA wala KUUCHINJA!!

    Mdau Oslo, Norway

    ReplyDelete
  10. Anon wa 0408 pm jinsi unavo ongea inaonyesha ulifika zim miaka ya 80S na ealy 90S hawa watu walikuwa na nyodo kwanza kuingia kwao tikea zambia lazima gari ipuliziwe sijui ddt sijui dawa gani mimi mwenyewe binafsi mwaka 1989 walinirudisha border kisha wanataka show money usd 400 mie nilikuwa na 390 na kashfa nyingi sana hawa watu we acha tu sasahivi ukipita pale salute za kufa mtu waache wateseke watie akili na sasa watafatilia hawa wasauz nao wanazarau kupindukia ipo siku watatia akili nao from MTEMBEZI

    ReplyDelete
  11. Ndoa ya mashaka!!!!

    ReplyDelete
  12. "njia fupi ya kuelekea uswisi ni ipi babu? manake chupi imebana siyo siri"

    ReplyDelete
  13. HAPA CHUONI NINASOMA NA RAIA WA ZIMBABWE,MAMA YANGU WEEEEE,JAMANI HAWA WATU WANAMAJIGAMBO,MBWEMBWE,FIKSI(UWONGO)..SI MAANISHI WOTE,ILA MOSTLY NDIO HIVYO...KWANZA..KUNA MZIMBABWE DENTI NILIMKOPESHA AKATOKOMEA,KUNA MZIMBABWE MTAANI ALINISAIDIA KU DESIGN ISHU FLAN..NIKAMKOPESHA-NILIPIGWA SOUND IKABIDI NISIMDAI TENA,CLASS MET WANGU(KABINTI)IKIJA KWENYE ACADEMIC STUF-KANADAI KENYEWE NI FULL DISTINCTIONS,CHAKUCHEKESHA ZAIDI KALINIAMBIA KAMEPATA INTENSHIP(USA)KIPINDI CHA LIKIZO YA DECEMBER,TUMEFUNGUA CHUO,NIKAKUTAKANA NAE,NIKAKAULIZA HABARI ZA STATE(USA)..SAFI SANA ILA STATE HAITOFAUTIANI SANA NA SOUTH AFRIKA(NILIVUMILIA KUCHEKA),KWENYE IBADA..NASHIRIKI KWENYE IBADA..SIKU HIYO MCHUNGAJI MWALIKWA(ORIGIN YAKE ZIMBABWE)...MAHUBILI YOTE NI MAJIGAMBO,MFANO NEXT WEEK NAENDA KU SIGN BONGE LA DEAL NA BINTI FLAN ANATOKA USA,NA DRIVE BMW 3SERIES,NINA MPANGO WA KUNUNUA JENGO FLAN KWA AJILI YA BIASHARA(THAMANI NI RAND MILION60-MILION900 ZA TZ)..MWISHO WA IBADA MCHUNGAJI AKADAI TUFANYE MATOLEO KWA AJILI YA KUMSHUKURU HUYO MCHUNGAJI(NILIPATWA JAZBA NIKAONDOKA-NIKAONA WIZI MTUPU-BADALA YA KUCHANGIA NGUO NA CHAKULA KWA AJILI YA WAZIM..WANATESEKA,ETI NITOE SADAKA KWA AJILI YA MCHUNGAJI ANAETAKA KUNUNUA JENGO LA MILION900...MZIMBABWE MWINGINE (MACHINGA) AKAPITISHA NGUO,NIKAULIZA ANATOA WAPI MAANA TSHIRT NIMEZIPENDA..AKADAI ANATOA ZIMBABWE MAANA KUNA VIWANDA VINGI VYA NJE VIMEWEKEZA ZIMBABWE...DU?KUMBE MIMI NI MKATA MITAA HODARI,NIKAMUUMBUA HADI SEHEMU ANAYONUNULIA...AKABAKI YOU KNOW NYINGIIIII...WAZIM..NOMA BWANA..

    ReplyDelete
  14. hii africa itakuja tawaliwa tena watu wanamsupport morgan wakati yeye ndo source of all problem in zimbwabwe.wazungu wanabania mugabe ili aonekane mbaya lakini yuko fiti.LONG LIFE MUGABE

    ReplyDelete
  15. ahsante sana rais wetu jakaya kikwete kwa kazi uliofanya AU. kama si wewe na viongozi wengine wa africa ambao wanaijali africa kungetokea mvurugo mbaya zimbambwe. huyo morgan alikubali kutumiwa na wazungu ndio shida zikazidi zimbambwe. kwa juhudi za kikwete na wengine ndio zimemfanya amke na ku smell the coffee. uingereza ili fanya juhudi nyingi sana kuichochea hiyo nchi. kama wazungu wanaipenda sana zimbambwe mbona wamewaacha watu wa zimbambwe wafe kwa cholera kwasababu ya kuzuia misaada isiingie zimbambe. siku zote wao husema hawawezi kuwaacha innocent people wafe kwa magonjwa au njaa kwasababu ya kutofautiana kisiasa. hii inaonyesha wanazipenda nchi za africa wakati wanaweza kuwanyonya tu. waafrika tusikubali kudanganywa na hawa wazungu kama walivyo danganywa ma babu zetu wakauza watu wao kwa kupewa shanga. tusipokua na umoja na kugundua ujanja wa hawa wazungu na wengine tutajikuta tunatawaliwa tena. i am sure watu wajinga kama kina RAILA wa kenya, rais wa botswana na vibaraka wengine wanajuta juu ya msimamo wao kuhusu zimbambwe. just because hawa viongozi walialikwa chai na waziri mkuu wa uingereza wanafikiri
    uingereza inawajali. hawa vibaraka ndio walikua wanataka jeshi la afrika liende huko kumuondoa mugabe. matokeo yake yangelikua vifo vya watu wengi. kwakweli tujue kuongea ni bora kuliko vita. HONGERA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA KAZI YAKO NZURI AU. KAMA SI WEWE NA SOUTH AFRICA NA VIONGOZI WENGINE WATU WA ZIMBAMBWE WANGEUANA BURE. MUNGU AKUPE AFYA NZURI NA MAISHA MAREFU. I WILL ALWAYS VOTE FOR YOU. GOD BLESS YOU OUR PRESIDENT.

    ReplyDelete
  16. HAWA WAINGEREZA NDIO HATA KIDOGO WATAKUBALI NCHI YEYOTE YA AFRICA KUINGILIA MAMBO YAO. KWANINI SISI WAAFRICA TUWAACHIE WATUCHONGANISHE. SIFIKIRI KAMA BABA WA TAIFA ANGEKUA HAI ANGEPELEKA MAJESHI YETU KUPIGANA ZIMBAMBWE. KWANI HAYO MAJESHI YA ZIMBAMBWE YANGEKUA SITTING DUCKS SISI TUWAVAMIE. TUKUMBUKE WAZIMBAMBWE WALIPIGANA VIKALI NA WAZUNGU MPAKA WAKAIACHIA NCHI YAO. ANYWAY HAKUNA HAJA YA HAYO YOTE KWANI VIONGOZI WENYE BUSARA KAMA JK WALICHAGUA MAZUNGUMZO KULIKO VITA. DAMU ZA WATU ZINGEMWAGWA BURE NA NCHI INGEKUA MASKINI ZAIDI. KIKWETE NA SOUTH AFRICA WALISHIKILIA MSIMAMO WAO BILA YA KUSHAWISHIWA NA WATU WENGINE KAMA TUTU NA WENGINE. I HOPE BBC NA WENGINE WATAIPA ZIMBAMBWE BREAK ILI WATATUE PROBLEMS ZAO. HAO PROPHETS OF DOOM WAACHE KUSEMA MUAFAKA WAO HAUTAFANIKIWA. TUWAOMBEE WAFANIKIWE. AFRICA PROBLEMS WILL BE SOLVED BY AFRICANS. GOD BLESS AFRICA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...