Familia ya Dausen Munis wa Kunduchi Daresalaam inasikitika kutangaza kifo cha binti yao Laura Dausen Munis-Mesaque kilichotokea tarehe 2/2/2009 huko Acton Town Uingereza.
Anuani ya alipokuwa akiishi ni
42 Caine Rd,
Hanbary Road,
W3 8RE.
Marehemu Laura alifariki nyumbani kwake alfajiri na chanzo halisi cha kifo bado kinafanyiwa uchunguzi wa kitaalamu (Autopsy). Marehemu ameacha watoto wanne. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kupelekwa kilimanjaro kwa mazishi inafanywa.
Familia ya Munis inachukua fursa hii kuomba michango ya hali na mali ili kusafirisha mwili wa marehemu kwa mazishi. Watanzania, ndugu, jamaa na marafiki tunaombwa kutoa rambirambi zetu kwa kuwafariji wafiwa. Akaunti maalum kwa ajili ya kusaidia kusafirisha mwili wa marehemu na mipango ya mazishi kwa ujumla imefunguliwa Bank of amerika.
Bank name:Bank of America
Name on account: Viola D. Munisi ( Acc for Laura)
Acc# 488020718091
Route # 111000025
Viola Munisi (Dallas- Fort worth, TX) 281- 788-1179
Peter Munis (Wichita, KS) 316-519-8000
Edna Munis (UK) 788 2052 473
Hellen Dausen (Kenya) 254712428285
Elda Dausen (Malaysia) 60176744001

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Naomba kurekebisha akaunti.
    Akauti iko kwenye jina la Viola D. Munisi ( acc for Laura)
    Account namba ni 488020718091, Route# 111000025. asanteni

    ReplyDelete
  2. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
    Poleni sana na salamu za rambirambi ziwaendee ndugu,jamaa,marafiki na wanafamilia popote pale mlipo.Pole sana sister Viola.
    Steve,Houston.

    ReplyDelete
  3. I am sorry for your loss.

    Janeth

    ReplyDelete
  4. Mungu awaimarishe katika kipindi hiki kigumu familia ya Munisi. Mungu mwenyezi aliyekuumba akupe pumziko la milele, Laura.

    ReplyDelete
  5. Bro Michuzi
    mimi ni mdau mkubwa wa blog yako
    Mara kwa mara huwa unaweka post ya kuomba michango ya kusafirisha mwili wa marehemu hasa wale wanaofariki wakiwa nchi za nje. hoja yangu ni kwamba mbona watu hawa wanapoenda huko nje huwa hawatuombi michango??
    sasa kama huyu alikuwa na watoto wa nne pamoja na kwamba hawajatuambia watoto hao wapo wapi.Inaonekana ni mke wa mtu na huko alikuwa anafanya kazi,sasa suala la kutuomba michango limekaaje hapo??
    ni hayo tu

    ReplyDelete
  6. Wapendwa mama Munisi, Viola, Edina, Peter, Hellen, Elda na watoto wa marehemu, nawaombea mungu awabariki sana katika jina la yesu. 'Sisi tulimpenda na Mungu aliyemuumba amempenda zaidi na hivyo kumwita kwenye pumziko la milele. Mbarikiwe sana!!!!

    ReplyDelete
  7. Familia ya Munisi poleni - Michuzi andika Munisi sio Munis

    ReplyDelete
  8. Pole sana Viola na familia nzima. Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hichi kigumu.

    Mwanyoka.

    ReplyDelete
  9. ni yule aliyemaliza muhimbili primary 1989? , mungu apumzishe kwa amani amina. (darasa la akina fredy l,maleke,humphrey mbise,othman kibodya,arthur luhigo,edith uronu,salama mwinyi na wengineo.

    ReplyDelete
  10. R.I.P Laura

    ReplyDelete
  11. Mdau unayetatizwa na suala la michango, uko TZ kweli? mbona suala la michango hata hapa nyumbani lipo jamani? Hasa linapoingia suala la kusafirisha mwili wa marehemu frm point a to point b? binafsi, sijakukubali kwa hilo....

    ReplyDelete
  12. ANONY 7;29am NI MAPEMA SANA KUANZA LIGI,ILO NI OMBI NI UAMUZI SIO LAZIMA,MCHANGO WAKO ISIWE SABABU YA KUTAKA KUJUA HATA YASIO KUHUSU. RIP

    ReplyDelete
  13. Ndugu zangu watanzania mlioko huko nje ya nchi nawaomba sana tudumishe utamaduni wetu wa upendo na kusaidiana. Sisi wazazi wenu tunafarijika kuona mnavyoshirikiana katika misiba na matatizo yanayotokea huko Ulaya na Marekani.Mungu awazidishie nyote mnaotoa kwa moyo wa upendo.

    ReplyDelete
  14. Muhimbili primary 1989???my school
    poleni wafiwa jameni
    ila wanajiweza tu,alibeba box nyingi sana

    ReplyDelete
  15. sio mapema kuongelea swala la kuombana michango kwa misiba hii inayotokea nje. watu hawa wakiwa nje wanashawishi sana kuwa ulaya na marekani kuna maisha, inakuwaje washindwe kusafirisha miili amdayo katika ndege huchajiwa tofauti kidogo. kwa mfano angalia familia ya hawa munis kama wako nje, sasa kunafaida gani kukimbilia huko, kama maisha ndo yanabana hivyo.
    badirike na mkubali ,huku wenzetu wanaishi maisha mabaya ,lakini sababu ni sifa ,wanaendelea kushawishi sana kuwa kuna maisha kwa wazungu.
    SO MICHANGO HIYO, IJADILIWE, SI MKIWA UZUNGUNI MPO INSURED HADI BARIAL SHUGHULI?

    ReplyDelete
  16. Mwenyenzi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba na ampumzishe marehemu mahali pema peponi. Pole sana Peter.
    Jackson

    ReplyDelete
  17. Huyo anony. wa feb 4 12:19 nafikiri hajui gharama za kusafirisha maiti. Eti zinatofautiana kidogo tu na za kawaida u wish. kusafirisha mwili kutoka u.s.a is not less than $10,000 wanasafirisha kwa pound(uzito) sio kwa mwili. Bado sehemu mwili unapohifadhiwa not less than $1000 a day.Kwa hilo nafikiri nitakua nimekuelimisha kidogo.

    ReplyDelete
  18. Poleni sana wafiwa.
    Mwenyezi mungu awaongezee nguvu kipindi hiki kigumu.....

    Elifaa. 89 GRADUATE 7A Muhimbili

    ReplyDelete
  19. Anon wa Feb 4th, 8:33am, aliyefariki sio Viola wa 89, nafikiri ni dada yake.

    ReplyDelete
  20. FAmilia ya Minisi, poleni sana, Mungu awape nguvu na mumgozo mwema. Joyce

    ReplyDelete
  21. Kwanza, poleni wafiwa ndio maisha haya ya kila siku ya mwanadamu.

    Pili,
    Ili kuondokana na usumbufu wa hapa na pale kuna umuhimu wa kununua bima za maisha. Maadam wengi wa walio nje ni vijana bima za maisha sio ghali, inategemea ni kiasi gani unataka warithi wako walipwe pindi utakapofariki. Hii itaondoa utegemezi wa kuchangiwa pindi utakapofariki. Nadhani huu ni wakati muafaka wa kufanya haya maamuzi ili kuondoa usumbufu kwa wale utakao waacha pindi wewe utakapofariki.
    Samahani najua watu wanauchungu lakini huu ndio ukweli wa mambo.

    ReplyDelete
  22. Nyie akina annoni wa hapo juu mliotoa maoni ya kibehi eti mbona tunapo ondoka huwa hatuwaombi pesa za kutuleta ulaya. hii ni kibehi sana hasa kwa wafiwa. pili hii michango tunayoomba hapa ni kwa wakaaji wa hapa ulaya na marekani. wewe uliyeko Tanzania kweli hatuhitaji mchango wako hapa. wewe mpaka ukabadili madafu na utume hapa sijui kwa dola au pound utakuwa umebadili pesa nyingi sana, ila wewe kama unataka kusaidia tu walioko nyumbani peleka mchango wako kwa wafiwa hapo Dar. Ni kweli maisha nje ni magumu sawa tu na hapo nyumbani ila tunasaidiana.

    ReplyDelete
  23. Duh! poleni na msiba ndugu wafiwa, huyu Si Laura aliyesoma Shaaban Robert(1991) alikuwa akiishi Kijitonyama makumbusho, Duh! ametotoka bado akiwa mdogo masikini. Mungu amlaze mahala pema peponi, Ameen

    ReplyDelete
  24. Kutoa ni moyo si utajiri, hasa kwenye shughuli za mazishi. sio harusi hii useme utakunywa bia kwa mchango wako. hutaki kutoa kaa kimya. Poleni peter na viola

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...