kwa mujibu wa mmoja wa wajumbe wa kamati ya utendaji wa yanga, hashim lundenga, marehemu ataagwa rasmi kesho jumamosi katika hospitali ya amana kabla ya maiti yake kuhamishiwa chango'ombe kwa mazishi jioni yake.
francis atakumbukwa kama mmoja wa waandishi wapiga picha waandamizi nchini akiwa ametumikua vyombo kadhaa ikiwa ni pamoja na mfanyakazi na mtanzania.
MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU PEPONI
AMINA
Mpaka sasa kila nikiangalia website za nchi zingine zinazoshiriki CHAN naona profile za kila mchezaji wa kikosi chao. Lakini sie aaaah! Hivi Watanzania tunanini?? Mbona tuko hivi? Hebu michuzi posti profile achana na TFF hawana akili. Pole wafiwa mungu ambariki marehemu!
ReplyDeletePoleni sana familia ya marehemu; ndugu, jamaa, marafiki na wanayanga wote.
ReplyDeleteAstarehe katika amani!
poleni sana familia ya marehe.mwenzetu ndo kesha maliza kazi. iliyobaki kwetu sisi tulio hai kuishi maisha yanayompendeza Mungu kwani tusihuzunike sana tusije tukamkosea Mungu sisi tulimpenda lakini Bwana alimpeda zaidi.
ReplyDeleteMWENYEZI MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI - AMINA. YEYE AMETANGULIA, SISI TUTAFUATA.
ReplyDeleteMungu amlaze mahala pema peponi.
ReplyDeleteHabari nilizozipata asubui hii zinasema kuwa Yanga imempoteza mchezaji wake wa zamani Leonard Chitete aliyefariki alfajiri ya leo. Mungu amlaze mahala pema peponi.