Ngoma Afrika band katika makamuzi. Habari na picha kwa hisani ya wadau wa ufini
The Ngoma Africa Band yenye makazi yake Ujerumani ,walitoa burudani kali ya kukata na mundu UFINI kwenye tamasha la 'FEST AFRIKA WINTER JAM.

Chini ya uongozi wake Ras Makunja waliweza kukonga vilivyo mashabiki.Walionyesha uwezo mkubwa wa kulitawala jukwaa kuanzia muda,uimbaji,uchezaji na kuwashirikisha mashabiki.

Kwa PICHA na matukio ya FEST AFRICA WINTER JAM unaweza kubofya
HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. huyu jamaa ras makunja!!!!!noma kweli! anapokuwa jukwaani ni kamanda wa nguvu !anayeongoza kikosi kisichotaka utani katika libeneke

    ReplyDelete
  2. mungu wangu! kumbe vichaa wa ngoma afrika mlikuwa ufini? nilikuwa nimelala,te!te! mwe!mwe! Ras Makunja na vichaa wenzako,mnafanya baraha ndani ya nchi ya barafu!teh!

    ReplyDelete
  3. Ngoma Africa !? jamani makamuzi bila ya uruma?

    ReplyDelete
  4. eh!bwana Kaka Braza Ras Makunja
    hivi hapa Sweden mtakuja lini?na sisi tupate raha na starehe za mziki wenu,ambao mara nyingine unaambatana na madongo mazito.

    ReplyDelete
  5. ngoma africa kamatieni hapo hapo,
    hizo ndizo zenu kila utulivu nyie
    mnaweka zogo.

    ReplyDelete
  6. hiii!!!!te!te mzimi wa dansi ngoma afrika,hongereni sana hapa ufini mmeacha simulizi,lini? mtarudi tena

    ReplyDelete
  7. kabwana kichwa ngumu ketu kanajiamini sana !big up.

    ReplyDelete
  8. kaka ras makunja pale k'koo jirani na kwenu vibaka wamezidi sasa? unalishughukiaje swala hili?

    ReplyDelete
  9. KILA BLOG...RAS MAKUNJA,NGOMA AFRICA...NGOMA AFRICA, RAS MAKUNJA!! WASWAHILI HAWAKUKOSEA'...KIBAYA CHAJITEMBEZA! HIVI HUYU ANAWEZA AKASIMAMA USO KWA USO NA 'NGINDE'!

    ReplyDelete
  10. Hao akina kimbute mbona hatuoni picha zao?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...