Ngoma Afrika band katika makamuzi. Habari na picha kwa hisani ya wadau wa ufini
The Ngoma Africa Band yenye makazi yake Ujerumani ,walitoa burudani kali ya kukata na mundu UFINI kwenye tamasha la 'FEST AFRIKA WINTER JAM.
Chini ya uongozi wake Ras Makunja waliweza kukonga vilivyo mashabiki.Walionyesha uwezo mkubwa wa kulitawala jukwaa kuanzia muda,uimbaji,uchezaji na kuwashirikisha mashabiki.
Kwa PICHA na matukio ya FEST AFRICA WINTER JAM unaweza kubofya HAPA


huyu jamaa ras makunja!!!!!noma kweli! anapokuwa jukwaani ni kamanda wa nguvu !anayeongoza kikosi kisichotaka utani katika libeneke
ReplyDeletemungu wangu! kumbe vichaa wa ngoma afrika mlikuwa ufini? nilikuwa nimelala,te!te! mwe!mwe! Ras Makunja na vichaa wenzako,mnafanya baraha ndani ya nchi ya barafu!teh!
ReplyDeleteNgoma Africa !? jamani makamuzi bila ya uruma?
ReplyDeleteeh!bwana Kaka Braza Ras Makunja
ReplyDeletehivi hapa Sweden mtakuja lini?na sisi tupate raha na starehe za mziki wenu,ambao mara nyingine unaambatana na madongo mazito.
ngoma africa kamatieni hapo hapo,
ReplyDeletehizo ndizo zenu kila utulivu nyie
mnaweka zogo.
hiii!!!!te!te mzimi wa dansi ngoma afrika,hongereni sana hapa ufini mmeacha simulizi,lini? mtarudi tena
ReplyDeletekabwana kichwa ngumu ketu kanajiamini sana !big up.
ReplyDeletekaka ras makunja pale k'koo jirani na kwenu vibaka wamezidi sasa? unalishughukiaje swala hili?
ReplyDeleteKILA BLOG...RAS MAKUNJA,NGOMA AFRICA...NGOMA AFRICA, RAS MAKUNJA!! WASWAHILI HAWAKUKOSEA'...KIBAYA CHAJITEMBEZA! HIVI HUYU ANAWEZA AKASIMAMA USO KWA USO NA 'NGINDE'!
ReplyDeleteHao akina kimbute mbona hatuoni picha zao?
ReplyDelete