Home
Unlabelled
promo mpya ya benki ya stanbic
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watoto wa wakubwa!
ReplyDeleteNi makada nini? ili baadae tuwapigie kura!
Acha hizo!! Issue si watoto wa wakubwa swali ni elimu yao inafanana na vyeo walivyonavyo. Kama jibu ni ndiyo so who cares kama ni mtoto wa mkulima au wa mkubwa. Maana bongo nasikia watu wa-print vyeti I hope waajiri wanawasiliana na hivyo vyuo kuhakikisha kuwa watu hao wana hizo degree. THIS IS THE BIG PROBLEM BONGO, NO VERIFCATION OF ANYTHING, HUKU DEVELOPED COUNTRIES TULIPO HAYA UKISEMA ULIKUWA UNAFANYA KAZI YA KULEA MTOTO MWAJIRI LAZIMA APATE ANUANI, MWAJIRI, NAMBA YA SIMU NA WANAPIGA SIMU KUHAKIKISHA YOTE ULIYOYASEMA NI YA KWELI.
ReplyDeleteSWALA NI WATOTO WA WAKUBWA HILO HALINA UBISHI, KWANI HAIWEZI KUWA BY ACCIDENT AU ELIMU NDO ILIYOWAFIKISHA KATIKA NAFASI HIZO, HATA KAMA NI ELIMU PIA NI SWALA LA WATOTO WA WAKUBWA NDO MAANA WAMEPATA ELIMU HIYO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE, HILO HALINA UBISHI, NAFASI ZA MASOMO NA SCHOLARSHIPS HUPEANA WENYEWE KWA WENYEWE, IT IS ABSOLUTELY IMPOSSIBLE THESE DAYS AND AGE GWAMAKA TO MWAKALELI HAMJUWI MTU YOYOTE AFIKE HAPO WALIPOFIKA WAO, "IT IS A FACT." KUHUSU VYETI VYA KUGUSHI HIYO MIMI HALINIINGII AKILI KWANI MTU ANAPOOMBA KAZI MAAFISA WA UAJIRI WA SHIRIKA HUSIKA SI WANAPASHWA KUFUATILIA KAMA NI KWELI HICHO CHETI KIMEPATIKA KULE KULIKODAIWA KUPATIKANA, AU WANAJIRI WATU ILIMRADI TU WAMEONYESHA VYETI, VYUO DUNIANI KOTE HUWA VINAWEKA KUMBUKUMBU ZA WATU WALIOSOMA KATIKA VYUO VYAO. BASI HATA WAO WATAKUWA WAMEGUSHI HIVYO VYETI KAMA HAWAJUWI NAMNA/PROCESS YA KUMWAJIRI MTU!
ReplyDeleteUpuuzi mtupu hapo, hakuna kitu. Majina yote yana staili moja, angalia kila kampuni.
ReplyDeleteSio kila mtoto wa mkubwakapata nafasi yake kwasababu ya kukingiwa kifua. Kuna sababu kadhaa wa kadhaa, mfano
ReplyDelete1. Kuna wakubwa wengi ambao walikuwa ni wasomi na wana akili darasani (maprofessor lukuki ni wabunge/mawaziri). Hivyo basi utakuta akili zipo katika gnese, na si ajabu kukuta mtoto wake naye ni kichwa, amesoma vizuri hivyo atapata tu kazi nzuri.
Pia hata kama watoto akili hazichemki sana kama wazazi wao, familia yenye wazazi wasomi kwa kawaida huwa wanajitahidi kuwahangaikia, kuwahimiza na kuwafuatilia wanao wasome pia.
2. Mnaposema kuwa walisoma shule nzuri au walisoma nje sababu baba zao ni vigogo. Mimi baba yangu alikuwa kiongozi hapo zamani. Ila tumesoma shule za kawaida kuanzia primary mpaka chuo ni UDSM, Master's ndio nimekuja mwenyewe nje kwasababu ya matokeo mazuri nikapata scholarship; hakuna cha ufisadi wala nini.
Babu yetu alihangaika na umande, kutembea peku kwenda shule, akirudi anasaidia kazi za nyumbani ila akajisomesha hadi kuwa mwalimu. Na ye pia akawasomesha wanawe hadi kuwa maprofessor, wakurugenzi, na viongozi mbalimbali.
Kwahiyo sio kila mtoto wa kigogo mumchukie kuwa kapata wadhifa kwa kupewa; au kuwa elimu yake ni kwasababu ni mtoto wa fulani. Kama hukubahatika kwa nafasi hiyo usikonde, Mungu yupo, na we wahangaikie wanao sasa, wao watasoma na kwenda mbele zaidi. Tujitume na kuangalia mbele siku zote!
nyerere alikuwa mtoto wa kigogo chifu burito wa wazanaki.
ReplyDeletekawawa naye mtoto wa game warden kigogo mwingine.
mkapa baba yake alikuwa mtumishi ktk misheni ya wakatoliki -- kigogo.
malecela mtoto wa msaidizi wa chifu mazengo -- kigogo.
tunachogombea huko Standard Chartered, TRA, BOT ni nafasi za kuwa na ahueni ktk maisha,kuwa vigogo.
kikwete baba yake alikuwa DC kwa muda mrefu na kamishna ktk tume ya maadili ya viongozi. babu yake kikwete alikuwa chief wa wakwere.
ReplyDelete...na hao watoto wa vigogo wanapenda sana hivyo vyeo vya kupiga blah blah kutangaza promosheni, kazi yako inakuwa ni kubonyeza kidunguli kutangaza mshindi wa promosheni au kwenda airport kumpokea 50 cent kwa ajili ya onyesho
ReplyDeleteStan Chart ni shirika binafsi. Wanaajiri mtu kufuatana na uwezo wako. Kama mna hasira na watoto wa vigogo kawalalamikieni vihiyo wa BoT. Achana na wenye shule yao na waliopata kazi kihalali; nazungumzia wale ambao shule hakuna ila wamewekwa na wazee wao pale; nadhani mnawajua!!
ReplyDeleteRais George Bush junior baba yake alikuwa kigogo George Bush senior. Babu yake George Junior alikuwa kigogo ktk siasa na biashara. Hillary Clinton ni mke wa Raisi mstaafu Bill Clinton.
ReplyDeleteRais JF Kennedy baba yake alikuwa balozi wa USA nchini Uingereza. Kina Bhutto wa Pakistani ni hivyo hivyo, Ghandhi wa India, Bangladeshi mambo kote yamefuata mkondo.
Wazee wa Bagamoyo walimwambia mtoto wa Chifu Butiro yaani Mwalimu 'atambuke kaburi' leo hii kizazi chao kipo madarakani.
Nini Watoto wa WAKUBWA...Ha ha ha pia ni WA-MERU...
ReplyDeleteKITOMARI+SARAKIKYA Ha ha ha haaaa
Hata mlie vipi. MAJI HUFUATA MKONDO. ULISHAWAHI KUSIKIA MAJI YANAPANDA MLIMA????? BASI waaulize wazazi wako why??????
ReplyDeleteningekuwa na uwezo mwaka mmoja naajiri Waislamu watupu. mwaka unaofuatia Wakristo watupu. mwaka mwingine naajiri kabila moja, say wamasai.
ReplyDeletenataka nifanye hivyo kuwakomoa tu waosha vinywa. malalamiko ya ukabila na udini yamezidi kipimo sasa.
WEWEE!! mBONA YANAKUUMA SANA HAYA YA KUAMBIWA KWAMBA HAO NI WATOTO WA VIGOGO?? INAELEKEA KUWA WEWE NI MMOJA WAPO! USIKATAE KWAMBA WATOTO WA VIGOGO WANAPATA NAFASI KULIKO WATOTO WA MASIKINI! ETI STANBIC NI SHIRIKA BINAFSI!! KWA HIYO? WE UNAISHI NCHI GANI?? KWANI HUJUI KWAMBA MAKAMPUNI YOOOTE YANAPOKUJA BONGO KUWEKEZA YANAJIGONGA GONGA KWA WAKUU WA NCHI KWA KUTOA AJIRA KWA VIJANA WAO, WEWE UKIWA MMOJA WAPO?????
ReplyDeleteETI STANBIC BANK NI BINAFUSI INAAJIRI KWA SIFA ZA MTU! WEWE NDO HUJUWI, HIVI SHRIKA LA NJE AU HATA LA NDANI LIPOTAKA KUFANYA BIASHARA UNADHANI WANAPATAJI UHALALI WA KUFANYA INVESTMET? KAMA BANK LAZIMA ITAANZA SERIKALINI/WIZARA YA PESA, ITAENDA BOT, KITENGO CHA UWEKEZAJI, HIVI UNAWAJUWA WAZEE WA BOAD ZA SEHEMU HIZO NI NANI? SI HAO HAO WABUNGE, MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA, HIVI UNATEGEMEA WAZIRI MTOTO WAKE YUPO NYUMBANI TU NA DEGREE ALIYOMUANGAIKIA KWA SCHOLARSHIP ZA UCHOYO AU PESA ZA IMPREST YA KUGUSHI ASIMWAMBIA CEO NINA MWANANGU MPE KAZI NA CEO ANATAKA LESENI YA BIASHARA ATASEMA NO, MAVI NO WAY! NA SASA HALI NI MBAYA HASA NA HII HALI YA KUNUNUA ELIMU NDO WANAKIJIJI WASAHAU KABISA HATUTOPATA TENA MAPROFESSOR FROM NO WHERE UNLESS YOU DINGI IS KIGOGO, HILO HALINA UBISHI. ENZI ZA KUPATA PROFESSOR KUTOKA CHIKOLOPOLA MASASI ZIMEKWISHA. FUATILIA MATOKEO YA MITAHANI YA SECONDARY NDO UTAONA WATOTO WA VIJIJINI WANAVYOKULA ZERO NA WA OSTERBAY MI-"A" TU DIVISION ONES KWA VILE TAYARI WAZAZI WAO WALISHAJIWEKA MAHALA PA KUPENDELEA WATOTO ZAO, SHULE ZA MJINI ZINA WALIMU KIBAO, MJINI KUNA UMEME WA KUSOMEA USIKU, SI SIRI WANADOKOA MITIHANI AND SO FORTH.
ReplyDeleteshughuli pevu!!!
ReplyDeleteaya wee annon kuwashusha wezio "P" zao ndo nini???"wanaenda kupokea 50cent airport na kubonyeza vitufe,,,then wajitangaze"hahahaaaa
teh teh teh
sina mbavu leo dah!
,,,adi kieleweke