Kwanza mkubwa nakupa pongezi nyingi sana kwa kazi kubwa unayo ifanya,Maana inasaidia kutuamsha sisi watanzania.....Mimi katika matembezi yangu katika mitaa ya South America ndani ya nchi moja Peru katika mji mkuu wake Lima nikaona hicho kitu.....
nilipendelea watanzania wenzangu pia wapate kuona inaweza ikasaidia pale nyumbani,kwani mazingira kama haya sisi tunayo kwa nini tusiwe na vitu kama hivi.....
Kaka mimi Mkulukutwa wa Blogs yako
Philip B....
nina kijiblogs changu nilipendelea kubadilishana mawazo na watanzania wenzangu, bofya hapo



I still don't get it! What is special about this picture or place? Is it the buildings/construction on an inlet? If so, then what can you say about the dangers of ocean currents-rising? This place will be submerged completely as it is likely to happen soon with the globe being warmer. Thanks...just a thought.
ReplyDeleteni kitu gani hichom mbona hamna maelezo ya maana juu ya hicho kitu, ni nini hicho?
ReplyDeleteMisupu, uwe unaangalia vitu vya kuweka! sasa kitu gani cha kusifia/kuiga kwenye hiyo picha wakati inaonyesha kutokuwepo mipango miji hapo!
ReplyDeletesasa ni kitu gani hicho...?? mbona hakieleweki na wala sio cha ajabu.
ReplyDeleteNa kamera ya huyu jamaa sio ndio zile za Megapixel 1 manake dah.. ni mpaka watu wavae miwate jinsi kuungu lilivyojaa. Bro michu sio kila picha uwe unaweka. uwe unazinfanyia assessment nyingine kutokana na utalaam wako. Kama zile za Dr Slaa na Waziri Kijana zilikuwa zimetulia sana zipo so clear tunataka picha kama zile.
Kwa kweli mi sijaona kitu cha kuiga kutoka katizo hizo picha. naona mshikaji alichukua hizo picha kwa kutumia mobile phone yaani huo ubora wake ni mbaya mpk zinakera.
ReplyDelete