Kwanza mkubwa nakupa pongezi nyingi sana kwa kazi kubwa unayo ifanya,Maana inasaidia kutuamsha sisi watanzania.....
Mimi katika matembezi yangu katika mitaa ya South America ndani ya nchi moja Peru katika mji mkuu wake Lima nikaona hicho kitu.....
nilipendelea watanzania wenzangu pia wapate kuona inaweza ikasaidia pale nyumbani,kwani mazingira kama haya sisi tunayo kwa nini tusiwe na vitu kama hivi.....
Kaka mimi Mkulukutwa wa Blogs yako
Philip B....
nina kijiblogs changu nilipendelea kubadilishana mawazo na watanzania wenzangu, bofya hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. I still don't get it! What is special about this picture or place? Is it the buildings/construction on an inlet? If so, then what can you say about the dangers of ocean currents-rising? This place will be submerged completely as it is likely to happen soon with the globe being warmer. Thanks...just a thought.

    ReplyDelete
  2. ni kitu gani hichom mbona hamna maelezo ya maana juu ya hicho kitu, ni nini hicho?

    ReplyDelete
  3. Misupu, uwe unaangalia vitu vya kuweka! sasa kitu gani cha kusifia/kuiga kwenye hiyo picha wakati inaonyesha kutokuwepo mipango miji hapo!

    ReplyDelete
  4. sasa ni kitu gani hicho...?? mbona hakieleweki na wala sio cha ajabu.
    Na kamera ya huyu jamaa sio ndio zile za Megapixel 1 manake dah.. ni mpaka watu wavae miwate jinsi kuungu lilivyojaa. Bro michu sio kila picha uwe unaweka. uwe unazinfanyia assessment nyingine kutokana na utalaam wako. Kama zile za Dr Slaa na Waziri Kijana zilikuwa zimetulia sana zipo so clear tunataka picha kama zile.

    ReplyDelete
  5. Kwa kweli mi sijaona kitu cha kuiga kutoka katizo hizo picha. naona mshikaji alichukua hizo picha kwa kutumia mobile phone yaani huo ubora wake ni mbaya mpk zinakera.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...