WADAU,
BWANA YESU ASIFIWE,
Tunapenda kuwaalika kwenye Semina ya kipekee ya neno la Mungu itakayohudumiwa na watumishi wa Mungu Christopher & Diana Mwakasege kutoka Tanzania.
WAPI ? Birmingham,Alabama.USA
LINI ? May 21-24 2009 [Memorial Week-end]
Tafadhali jiandikishe mapema ili kupata nafasi ya hotel kabla vyumba havijaisha. Unaweza kuwasiliana nasi kwa kupitia email:
Tunakuombea ili Mungu akuwezeshe kushiriki nafasi hii ya kipekee ya kuhudumiwa na Mungu Mwenyewe.
WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA..!
Wote Mnakaribishwa....!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi we coordinator wa kula maana Alabama kuna hotel moja tu mpaka vyumba vijae na kusekane nafasi au ni uvivu wa kufikiri wako na kujituma usituaibishe watu wa Alabama.
    MDAU WA MWAKASEGE ALABAMA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...