mama wa mitindo asia khamsini akijitkeza baada ya shoo iliyofana kupindukia katika hoteli ya kempinski kilimanjaro usiku wa kuamkia leo
mshereheshaji wakiwatambulisha asia na mai hazbendi wake mdau khamsini
mdau khamsini na asia wakimzawadia zamda george zawadi ya dizaina aliyetukuka
lady in red miriam odemba akifanya vitu vyake
lady in red miriam odemba
mojawapo ya mitindo iliyovutia ni huu wa monica magabe toka morogoro
mitindo ya kila aina na namna ilioneshwa
kampuni ya mitindo na vipodozi vya nywele ya 'darling' ilinadi uwezo wake kupitia kwa mamodo
magwiji wa mitindo nchini mustafa hassanali (kati) na ali rhemtullah walikuwepo kumpa asia khamsini taff kwa kumodo mitindo yake
monica magabe (kati) na mamodo waliovaa mitindo yake
mbunifu mpya (kati) akinadi vitu vyake
dizaini kijana anayekuja juu kwa kasi (kati) alionesha vyake pia
zamda george (kati) na mamodo waliovaa mitindo aliyobuni
mustafa hassanali akionesha mtindo wake kupitia kwa supa modo sasha

hadija mwanamboka naye hakuwa nyuma katika kuonesha mambo yake ya 2009
ali rhemtullah alimtumia mrembo victoria martin kuonesha vitu vyake


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. kwa hapo dada MONICA MAGABE nimemkubali, mavazi yake ni ya ubunifu wa hali ya juu, hongera sana mamaa. luv you.

    ReplyDelete
  2. Hizi nguo zao mbona hata H&M unapata?. More creativity jamani...and is Ally how u doin?

    ReplyDelete
  3. Bro 50 u know u can dress better than that. Been there done that.
    Do ur thang and represent ur wife to the fullest man.

    ReplyDelete
  4. Am so impressed with Ali Rhemtula and believe me he will go far beyond .... Keep it up Ali. But would be more happy to hear that you are mixing up local fabrics which are also beautiful and managable and to give support to local fabricants. Bravo brother Rhemtula. This is an art you have to be born with it.. so keep it up. Am your fan and promoter.

    ReplyDelete
  5. Hi Rhemtula, this is great. You have done a good job and you need our support - Bravo Bravo Bravo. Keep it up. Am so impressed, but how do we purchase your styles.

    ReplyDelete
  6. Hizi nguo mbona kama vile wanagezea mitindo ya nje

    ReplyDelete
  7. Duh hayo Mapozi ya Hasa naaali yananiacha hoi

    ReplyDelete
  8. Hadi mimi pozi lake limeniwacha hoi!!

    ReplyDelete
  9. 50 umeowa na umetoa marasta!!Duuuh eeeeeeeeehh umefanya vizuri hongera sana maana na kaumri kamepita mkuu,safari hii nakuombea ndoa njema, Mdau Italy.

    ReplyDelete
  10. Kaka 50 nakutrust mtoto si mchezo. tupatupa Uk

    ReplyDelete
  11. Hassanali na Remtula wanafanya kazi zuri sana. Nawapongeza sana. Yaani kwa hali ya Tanzania wanajitahidi sana. Ila Ushauri wangu kwa Mustafa Hassanali ni Kupunguza unene, na Remtula.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...