mzee small akiwa na wanenguaji wa twanga pepeta ambao baada ya kuwafua vilivyo wamekuja na shoo kibao za kitamaduni ambazo zimeanza kuonekana jioni hii viwanja vya lidaz, dar
khalid chokoraa a.k.a fagason akisakata sindimba
wanatwana wakipepeta kitamaduni

lwiza mbuttu (shoto0 akiongoza msewe





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. TWANGA WANAJUA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI...VERY GOOD MOVE...IT'S ABOUT TIME.

    WELL DONE TWANGA MANAGEMENT.

    ReplyDelete
  2. This is so cool..True it's about time. We need to be proud of our culture sometime. Uchi uchi kila siku is so out now

    ReplyDelete
  3. Wakati Utamaduni wetu unaiingia kasoro kutokana na uvamizi wa wacongo na uchawi uliokidhiri hasa matukio maovu ya uuaji wa mazeruzeru.. twanga wnafanya vizuri kuwakumbisha watazamaji kwamba ni wakati wakuujali nakuuhesimu.. Asante mzee Small

    ReplyDelete
  4. HUO MSETO SAFI SANA, MKIFANYA HIVYO PAMOJA NA YALE MASEBENE YENU MTAKUWA MMETOKA KIAINA YENU KABISA NA WABONGO WOE WE WILL BE PROUD OF YOU. KEEP IT UP NYIE NDIYO TAIFA STARS WETU HUKU UGHAIBUNI TUNAOJIVUNIA

    ReplyDelete
  5. Wow..Twanga Pepeta have gone back to basics..saaafii sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...