Wabunge Swen Schulz (kulia) ambaye ni Mkuu wa Msafara wa Kamati ya Michezo ya Bunge la Ujerumani na Katrin Kunert (kushoto) wakijaribu kukimbia ndani ya Uwanja Mpya wa Taifa ulipo jijini Dar es Salaam ili kuona kama uwanja huo unafaa au la wakati walipotembelea uwanjani hapo leo. Wabunge hao pamoja na wabunge wengine wako Nchini kwa Ziara ya siku mbili kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mchezo wa riadha pamoja na kuangalia jinsi ya kusaidia mchezo huo pamoja na michezo mingine.
Mratibu na Mtaalamu wa Michezo kutoka nchini Ujerumani Hance Thumm (aliyevaa Tshirt ya light blue) akiwaonyesha Wabunge kutoka Nchi hiyo zulia lililoondolewa katika uwanja mpya wa Taifa ambalo halikuwa na kiwango wakati walipotembelea uwanjani hapo leo. Wabunge hao wako Nchini kwa ziara ya siku mbili kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mchezo wa riadha pamoja na kuangalia jinsi ya kusaidia mchezo huo pamoja na michezo mingine.
Picha na Anna Nkinda - Maelezo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. HII NI HATARI HALAFU JK BADO YUPO YUPO TU JAMANI!!
    UK investigators tracking the controversial $40m BAE Radar deal have established that former Minister for Infrastructure Andrew John Chenge received $1.5m (2.1bn/-) in kickbacks from the deal through a slush fund he set up in the UK island of Jersey. According to a draft report written by the UK`s Serious Fraud Office and seen by The Guardian on Sunday, Chenge received payments through six credit transfers between June 19, 1997, and April 17, 1998, while he was serving as Attorney General. The billions were paid to account No.59662999 owned by Franton Investment Limited through Bank Code No 204505 of Barclays Bank Plc, according to the draft report, a final version of which has reportedly already been sent to the Director of Public Prosecutions. The SFO has established that Chenge owns Franton Investment, a registered company that appears to have been established primarily to enable the transfer of the dirty money.

    ReplyDelete
  2. Yes i think if they could pass during the construction period could sound much better than now as they contractors who bought that fake carpet already spend their $$ what remain cost for my fellow tanzanian-convicts of tax payers!!

    ReplyDelete
  3. Jamani jamani watanzania sijui wananini kila kitu kimewekwa cha juu kweli tutafika namna hii? Mimi naomba hizo barabara za kupita hewani mkandarasi na wasimamizi watoke nje maana linaweza kutokea janga la kutisha, halafu tunadai nafasi wazawa hatupewi ni kwasababu sisi ni wezi wa kila kitu hata kungekuwa na moyo feki watu wangewekewa kwenye opereshani kha!

    ReplyDelete
  4. mmh huyo mama wa kijerumani mi Hoi... hehehe michuzi toa namba basi.!
    LoL..

    Mdau singo.

    ReplyDelete
  5. dah yani tumeshaibiwa tena la ilo kapeti bovu?nani anagharimia ilo jipya sasa na ilo la zamani pesa ilitoka wapi?nani contractor,,,
    yan wanakuja KUTUKAGUA KWA LIPI ASA
    wee annon unaemmezea mate uyo mwanamke acha ufisadi wewe!!

    ReplyDelete
  6. WALIOAGIZA ZULIA LILILO CHINI YA KIWANGO WALICHUKULIWA HATUA GANI? AU NDO EPA YA NESNO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...