Meneja Mauzo TBL, Malaki Sitaki akimkabidhi 500,000 mhudumu wa Bar ya Zanka, Mwajabu Bakari, baada ya kushinda ktk Droo ya 2 ya promosheni ya Wadau wa Kili kwenye hafla ilofanyika TopLand Bar Magomenu, jijini Dar, wikiendi hii
Meneja Mauzo TBL, Malaki Sitaki akimkabidhi 500,000 mmiliki wa Bar ya Zanka, baada ya Bar yake kushinda ktk Droo ya 2 ya promosheni ya Wadau wa Kili jijini

Meneja Mauzo TBL, Malaki Sitaki akimkabidhi mdau mwingine wa Kili 250,000 baada ya kushinda ktk Droo ya 2 ya promosheni ya Wadau wa Kili



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo dada mwenye blouse ya pink mbona kanuna hivyo!!! Hongereni washindi!

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza.. dada mwenye pink amekasirika kwa sababu anajua mpaka hizo hela kuja kuisha watakuwa wamepigwa bakora za kufa mtu.. teh teh teh....

    ReplyDelete
  3. kwanini picha za zawadi nyingi zinawatoa akili watu hadi uhalisia na makusudi ya picha yanapotea, inakuwa watu kama wanaigiza. hii ya mikono kutokuwa na ushirikiano na sura ,wadau nyie mwaionaje.

    ReplyDelete
  4. wow hilo jina malaki sitaki.......mhhh mhhh mhhhh

    ReplyDelete
  5. Mimi sielewi!! Mbona hizo picha za washindi katika picha ya pili na ya tatu wanaonekana wakipewa mamilion huku tukiandikiwa kuwa ni laki kadhaa tu.

    Au hizo noti za Tanzania zimebadilika thamani.....utafikiri ni Exchange rate ya Zimbabwe.

    Jaribuni kuwa wa kweli hata kwenye picha....laki mbili na nusu au laki tano zinaonekana kufanana...na hata hivyo kwenye picha kitita chenyewe kinaonekana ni mamilioni

    Hebu tuchambulie hiyo bwana michuzi maana isiwe hela ya kibongo ndiyo sawa na ya zimbabwe.

    ReplyDelete
  6. Huyo jamaa kweli anaitwa Malaki Sitaki? He he he!! wazee wengine kweli wahuni... Hivi Bongo mtu huwezi kubadili jina lako? Hilo la Malaki si baya lakini kuna majina mengine yaani yanafanana na matusi kabisa...

    Mdau, Boston, US

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...