
Muuza madafu akiokota madafu yake yaliyoanguka mara baada ya kupigwa kupigwa pasi na daladala jirani na kituo cha daladala cha Posta ya Zamani upande wa kutokea Feri.
Licha ya kuangushwa vibaya lakini kwa bahati hakuumia. Wakati 'wamatumbi' waliokuwa kituoni wakicheka kama wanaangalia comedy, msamaria mwema wa kizungu alisimamisha gari lake akashuka na kumsaidia kuokota madafu yake haraka haraka kumnusuru asigongwe tena.With Luv!
MR. AHMED VIRIYALA
Dar es Salaam,
Tanzania
That's why wenzetu wanaendelea. Watanzania wenzake wanamcheka wakati maisha yake yalikuwa hatarini, badala ya kumsaidia?, mzungu even stoped his car!, and helped him so he doesn't get hit again!, that's why wenzetu wameendelea na wanaendelea. Why laugh at something like this? it's not like it's funny!, what if he lost his life in that accident?
ReplyDeletePeople, let's be serious with life, let's be smart and CIVILIZED.
My two cents.
Maskini anatia huruma kaka wa watu, ameamua kufanya biashara kidogo apate riziki, inakuwa kero pia, bora ufanye biashara maana ukiiba utapigwa ufe, Mungu akunusuru na ajali na mengineyo.Asante kwa alimsaidia Mungu atawajalia wote.
ReplyDeleteNdugu zangu Watanzania, tukubali kwamba sie ni moja kati ya jamii ziishizo maisha yasiyo na kanuni maalum zama hizi za ustaarabu!
ReplyDeleteHebu fikiria huyo mzungu atakuwa amepata picha gani ya kuwaambia watu popote aendako juu ya watanzania?? kwamba watu makini? wasiojali? wenye upendo? au wapowapo tu na wasiotofautisha jema na baya?? Kimsingi ni vigumu sana kuielezea jamii hii ya Tz!
Moja ya kielelezo kwamba hatujali maisha yetu, angalia tulivyoacha kazi ya udereva wa magari ya abiria kufanywa na watu wasio na fani ya udereva, wengi wa waendesha daladala na makonda wao ni wavuta bangi, hutukana popote na kudhalilisha watoto huku jamii yote imeridhika na kuchekelea. Matokeo yake mauaji ya watu barabarani tz twaona kama kitu cha kawaida tu! Hebu jiulize mchango wa tabia na matendo ya madereva na konda wa daladala katika kuharibu tabia za watoto, hufundishwa lugha chafu, utovu wa nidhamu na mbaya zaidi ukatili na kutojali wala kutii sheria za nchi. Kama jamii tunachekelea tu kama vile ni burudani!
Mungu ainusuru Tanzania na tabia ya kutojali taratibu
Mdau toka Oslo, Norway
Pole sana brother wangu.
ReplyDeletendio maana kuna professor mmoja mzungu aliandika kwamba mtu mweusi akili zake ni tofauti kabisa na mzungu zetu punguani,mimi naamini hivyo always japo mimi mweusi,kwani mfano mdogo tu ukatili tulio nao sisi weusi sa nyingine ni wa kustaajabisha mfano utakuta kundi la watu eti wanamchoma moto mwizi wa kuku,mtu anaenda kumuua albino ili auze viungo,hii ni mifano michache ya crime ambazo mtu mweusi tu anafanya sijawai kusikia kwingine.aibu tuwe na upendo wa kweli.
ReplyDeleteMgaagaa wa upwa hali wali mkavu, sasa na hao waliomcheka wajiulinze wangekuwa wao ndo imewatokea na wengine wakacheka wangefurahia au wangenuna. A Mindset differentiate a man and a human.
ReplyDeleteMtoa maoni 12:50. Tofauti ya mzungu na mwafrika utaielewa zaidi ukisoma kitabu kinaitwa " O.J Simmpson who really did it' ni kidogo na nimetafuta nakala ya 2 wamesema mchapishi ameacha.Nakupa hii page ya 27 uone jinsi alivyosema:
ReplyDeleteTYPICAL WHITE KIND OF CRIME
The nature of the crime, the callousness of it, the cold-bloodedness of it, the macabre nature of it, the way it happened, rules out a black man or a group of black men(assailants), it was typical white kind of crime carried out by a white man or group of white men(assailants) I submit.
by nature white people tend to internalise their feelings they are also capable of bottling up their anger for longer period than black people, at the same time display an exterior; deceptively friendly to their intended victim. External deception renders a victim to be weaker; An intended victim doesn’t need to be protective of himself because he is unaware of the impending danger. That anger is then let out in one single powerful volcanic explosion often with a dire consequences.
Black people tend to be more excitable by nature, they externalise their feelings thus easily alerting their intended victim. They are also less calculating and cunning.
Also crimes involve white males tend to be well planned in advance down to the finest details. They may even be preceded with the stalking of the intended victim. This is the case with Mark Chapman; he has been stalking Lennon for period of three months prior for the shooting.
Also white people tend to suffer much from Schizophrenia than black people. Black people when they commit murder they will try to run from the face of danger or change their identity to evade capture. White men after committing murder they turn the murder weapon into themselves this is the case of Mc Veigh.
27
Huo ukurasa ulinipeleka mbali sana kimawazo, baada ya hapo maisha yangu yamebadilika kijumla.Naona sasa wacha na mimi nianze kuhubiri hiyo injili.Achilia mbali huo ugonjwa lakini jamaa wawnapata kila wanachotaka, sisi tunachekana. Vile vile kitabu kingine ni cha Dr Ben Carson, ameeleza mambo hayo pia.
Mungu mbariki MwaAfrika. Amina
Tchao
Where is LOVE????!!!!!!! TUNA AMANI LAKINI HATUNA UPENDO,inasikitisha sana,but What is PIECE WITHOUT LOVE??????? I DONT GET IT.BTN LOVE AND PIECE I CHOOSE BOTH.thanx mkuu wa wilaya kwa habari ya maana kama hiyo.
ReplyDeleteNi kweli waafrika akili zetu ni pungufu.Hata tukisoma Ulaya bado haitusaidii ona wahusika wa EPA,Richomnd nk.Ushahidi mkubwa ni pale waafrika walipowauza waafrika wenzao utumwani kwa wazungu.Historia inasema english people waliwauza wascotish na irish kwa wamarekani kuwa watumwa,wote ni wazungu hawa...Hawakutaka kabisa kuuza wazungu wenzao utumwani kwa waafrika tunaiona tofauti hapa??
ReplyDeleteWatu hawana utu kumcheka mwenzio amepata matatizo,wote huu ni umaskini wa fikra.....!
Bado tuna mambo mengi sana ya kujifunza na kuchukulia maisha kwa mtazamo tofauti.Mfano mmoja mdogo sana ,nenda Mbuga ya wanyama jaribu kuwalisha wanyama chakula.Ukiwa na Mzungu karibu yako wanyama watarespond kwa Mzungu na sio kwako kwasababu wanajua nini watapata toka kwako.
ReplyDeleteBaada ya Uhuru wazungu walikuja kufuatilia nini tumefanya kimaendeleo kwani tunajitawala wenyewe,walipata ripoti ya maendeleo yote na ndipo mmoja wao akauliza nitauliza swali moja kujua kuwa kama kweli mmeendelea,Je mmeacha kujisaidia majanini?Ngondi
Hao wazungu mnaowasifia sana ni hawa wanaoua watu,especially mke.olewa na mzungu uone mambo.fanya nae biashara uone mambo ni watu washenzi tu.
ReplyDelete