
Usikilize wimbo huo:
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AY ninakubali kazi zako,lakini nimesikiliza wimbo wako mpya ktk BC,sijapenda,kama utakua unafanya hivyo utaharibu usanii wako,endelea jinsi ulivyokua,kama utataka kutegemea computer,watu tutakushusha sasa hivi.
ReplyDeleteNa huyu anakimbia vumbi kwa ngazi ya ziara ya kimuziki kama Ali kiba? Tuliwaambia bora kupiga box kuliko kula vumbi mkabisha,Ona sasa vistaa vyenu vinatoka nduki.hahahahahahaha
ReplyDeleteAY uko tight mazee,
ReplyDeleteNashindwa kuwaelewa wadau waliontangulia hapo juu tusioshe vinywa tu, tuangalie trend ya mziki inaendaje na ndio tujadili. Ukicheck wana hiphop wengi wameingia kwenye computer production, cranks na kuimba kidogo. Na hayo ndio mahitaji ya soko la mziki kwa sasa, ni watu wachache sana wanataka hardcore hiphop.
Nimeukubali huu wimbo na AY uko juu mazee you are among the best in tz including Lady Jd, FA, Prof,etc
Keep it up bro