Kamishna Mkuu wa Magereza Afaned Augustino Nanyaro (kulia) akimvisha nishani ya utumishi mrefu na tabia njema, Stafu Sajenti Eva Masanja wakati wa sherehe ya uvishaji nishani kwa maafisa na askari katika Chuo cha maafisa wa Magereza, Ukonga, Dar, leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mi nlidhani askari ni wa JWTZ tuu. Kumbe na hawa.

    ReplyDelete
  2. MMMMMMM....Eva masanja ujeshi ujeshi mtupu, iko kazi.

    ReplyDelete
  3. Hivi kwa nini huwa mnasema eti magereza na jwtz ni askari? jwtz ni wanajeshi, magezera ni wanhuduma wa marekebisho. wario askari ni porishi tuu.

    ReplyDelete
  4. wanpolisi wanaitwa maofisa, wanajeshi wanaitwa askari, je hawa wa magereza wanaitwaje?

    ReplyDelete
  5. so polisi ni askari,wajeshi ni jwtz na magereza ni walinzi wa wahalifu!

    ReplyDelete
  6. NI NINI KINACHOFANYA JESHI LA MAGEREZA KUTUMIA RANGI ZA BENDERA YA CCM NA KUTOIWEKA RANGI YA BULUU KATUKA MAPAMBO YAO? NIMEKUWA NIKIONA NDANI YA MAGARI YA MAOFISA WA JESHI HILO YAKIWA YAMEWEKWA FORONYA ZA KIJANI NA NJANO HATA MABANDA YAKE KWENYE MAONESHO TOFAUTITOFAUTI HUWA YANAFANANA NA MABANDA YA CCM KWA MAPAMBO YA BENDERA ZA KIJANI NA NJANO.

    ReplyDelete
  7. rangi husaidia kutofautisha. polisi ni blue na nyeupe, jwtz ni kijani na nyekundu, magereza ni kijani na njano.

    Angalia magari yao na sare zao za seremonio.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...