Man Utd 2-0 Inter Milan (agg 2-0)
Sir Alex Ferguson emerged victorious in the showdown with his old rival Jose Mourinho as Manchester United survived a nervous night against Inter Milan to reach the last eight of the Champions League.
Nemanja Vidic powered in Ryan Giggs' corner to give United the lead in the tie after only four minutes, and Cristiano Ronaldo rose to head home Wayne Rooney's cross three minutes after the interval.
But in between those two strikes, Mourinho's Inter were left to regret a succession of missed opportunities to grab a crucial away goal and put the skids under United's bid for an historic haul of five trophies.
Zlatan Ibrahimovic hit the bar with a first-half header and Dejan Stankovic missed a glorious opportunity as Inter failed to take advantage of uncharacteristic slackness in possession and defence from United.



Kama kawa ngebe za Morinyo zimeishia ukingoni na Man U wamesonga mbele.
ReplyDeleteKubwa kuliko yote labda ni pongezi kwa timu zote za UK ambazo zimefanikiwa kusonga mbele na hivyo kuongeza chances za kubakiza kombe hapo hapo UK.
Kila la heri la heri kwa timu zote zilizosonga mbele.
Ur not the special one!!!
ReplyDeleteWelcome to Europe
Karibu Old Traford
"United Capital of trophies"
Duuh njomba michu sasa hiyo chuki binafsi.
ReplyDeletemdau
kisiju pwani
Nilidhani ni kombe hili hili ambalo Liverpool nao wanalitolea "maini",kumbe ni kombe mbuzi tu?!!
ReplyDeleteAma kweli kunya anye kuku,bata akinya huambiwa kaharisha!!!!
kaka michu naomba tu comment yangu uitundike maana wewe nikianza tu kuwasema bwawa la maini unatoa ila ukweli ni kwamba tunawasubiri tuwatandike.
ReplyDeleteKwa kweli LiverFool amnakoseaga kitu kimoja;
ReplyDeleteKila dua mbaya Kwenu dhidi ya Man u hugeuka kuwa Ushindi na Ubingwa....
sasa ni bora msiombee mabaya maana kama bahati ipo kwako mtu hawezi kuiondoa na jana mmeona inter wamegonga besela mara 2 ambazo yangekuwa magoli mma2 na wangepita,ila kwa kuwa haikuwa bahati yao basi hawakupata hata 1.
Kila dua mbaya kwako itageuka kuwa ushindi daima,ombea mabaya J'mosi uone litakalo tokea.......
Bibi wa bahati katulia Capital of Trophies mwaka huu kachoka kuruka ruka kaamua kuweka kambi kabisa...mnalo wapinzani wa kombe la mbuzi...........
Makombe yooooooote lazima tuyachukue... mtakoma
ReplyDeleteMe-choose acha ubaguzi ktk blog yako ARSENAL tumebawanjua ROMA ingawaje ni kwa matuta kwa nini hujatuweka hapa?
ReplyDeleteAndika japo ki-article cha maneno mawili basi.
na bado kwani sikuhizi hakuna cha kusema kuwa tunawasoma mchezo wao au tunaangalia video za mechi zao za nyuma,kwani mtajichanganya wenyewe sababu siku hizi hatuna kikosi cha kwanza na wala hakuna mpangilio maalumu wa kucheza na vilevile haijulikani ni nani mzee au kijana kwani sikuhizi ryan gigs ni kijana wa miaka 19,na kila anaeingizwa ujue kuna shughuli hapo.sasa nyie wehu wengine mnao jifunza mpira mkae chonjo
ReplyDeleteMbega mweupe furaha kibao yani
Barclays premiership latest results saturday 14/3/2009 Half-time:
ReplyDeleteKatika wanja la Old Trafford jijini Manchester sasa ni mapumziko na matokeo ni:
ManUtd 1 Liverpool 2. Bao la ManUtd lilifungwa kwa penalti na Ronaldo. Torres alirudisha dakika ya 28. Liverpool ilipata bao la pili kwa penalti dakika ya 41 na sasa ni halftime.