Mr. Paul

Paul Mbena, mMwanamuziki mahiri wa mtindo wa Zouk a.k.a Mr Paul aliyeko nchini Austrlia atakuwa mingoni mwa wanamuziki wahamiaji wanaoishi nchini humo ambao kwa pamoja watatengeneza Albamu ambayo itapatikana sokoni mwaka huu.

Mr Paul amesema Albamu hiyo inatengenezwa na kampuni inayoitwa Multicultural art ambayo inajishughulisha na sanaa na muziki kimataifa.

Kwa habari zaidi tembelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NAOMBA MAELEZO YA ZIADA NIFAHAMU

    Katika hii post, nanukuu "Mr.Paul aliyeko nchini Australia atakuwa miongoni mwa wanamuziki wahamiaji nchini humo"

    Nataka kujua kama Mr.Paul ameshakuwa mhamiaji huko Australia.Au jamaa ameandika bila kujua maana ya mhamiaji ktk masuala ya International Politics?

    Sishangai kama amekuwa mhamiaji, ni kitu cha kawaida kuukana uraia wa Tanzania.Ila kama ameshakuwa mhamiaji, naamini hiyo title isingesomeka tena kuwa Mr.Paul ang'ara ughaibuni, maana ingekuwa Mr.Paul ang'ara nyumbani kwao Australia.Au nimekosea?Napenda kufahamu tu.

    Mr.Paul ni msanii ambaye nyimbo zake nyingi ni nzuri, hata zile ambazo ni za akina Marijani Rajabu alizozifanyia modification kwa haki miliki, nzo ni nzuri ile kisawa sawa.Keep it up brother.

    MAKULILO Jr,
    www.makulilo.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. Amehamia na ataendelea kukaa Australia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...