GowQw6vEkOk&feature=channel
BY SHAYO HILDEBRAND
BY SHAYO HILDEBRAND
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
uhali gani balozi mithupu?
ReplyDeleteebwana nimesikia kuna sakata yule mlimbwende wetu wema sepetu ametiwa rupango. amefanza nini? ebu jaribu kuepruzi utuletee data.
naomba kuwakilisha
ninacho ila kinanishinda kukimaliza. ni hakisomeki sababu hakukiandaliwa vizuri.
ReplyDeleteHebu tupe summary tu ya hicho kitabu "Bunge lenye Meno" hata paragraph mooja tu,watu waanze kuosha vinywa,au vipi profess.bloggers? Thupu hebu changamkia hiyo mizee!Time mzee kuanza ku surf si unajua tena!
ReplyDeleteHii link haifunguki nikifungua inanipa maneno haya "The URL contained a malformed video ID". Hebu iangalie upya labla umekosea au jamaa kaichomoa tayari
ReplyDeletehi
ReplyDeletekama haifunguki wewe copy url na paste on search engine
simple
Do, niko hapa Australia ninahangaika na maisha ya shule.
ReplyDeleteNapenda kutoa shukran zangu kwa adau Dr. Shayo kwa kutuwekea hii video clip.
Je watanzania wote hasa vijana wetu wanataarifa na vitu hivi?
Mzee Shayo, ukikatiza anga za hapa unakaribishwa