JIANDIKISHE SASA MISS TANZANIA EU 2009
Je wewe ni msichana mrembo mwenye sifa zifuatazo:-
Umri kati ya miaka 18 - 24
Mtanzania unayeishi katika moja ya nchi 27 za umoja wa Ulaya EU
Tabasamu zuri,
umbo zuri na mvuto,
nidhamu na ufahamu wa kujibu maswali.
Unauwezo wa kujieleza na kuwa balozi wa nchi yako Tanzania
Tuma maombi yako ukiambatanisha na picha :-
info@misstanzania.eu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...