Wadau wahusika wote there will be a party itakayo fanyika cine club mwisho wa mwezi wa 4 mchango ni 20,000/- na msosi juu.
Yule atakaye pata tangazo hili amuarifu na mwenziwe and wahusika wote naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo;
0773 700 170
0755 725602
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hii shule nayo? 'Get together for all...' siyo 'Get togthher to all...'

    ReplyDelete
  2. no wonder walikuwa wanapewa paper halafu wanaringa na matokeo ya kununua.

    ReplyDelete
  3. p´po stop hating st matthews!hamna aliepewa pepa pale ni vichwa bwana!kuanzia 2001 hadi 2003(ambayo najua mimi)jamaa walikuwa wanasomakweli,no wonder waliwatingisha vibaya mno!ha ha a ahha,amani sana.

    ReplyDelete
  4. Sasa inakuwaje mnaandika madudu. Eti "Get together to all....." 'To' is not the appropriate preposition!!

    ReplyDelete
  5. hamna kitu pale wala msijitetee wa matokeo yale wala msitudanganye mlitufanya sisi watoto

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...