zamani ilikuwa ikijulikana kama mawenzi hotel na kuanzia mwezi ujao itakuwa holiday inn baada ya ukarabati wa kufa mtu, ikiwa ni pamoja na uwanja wa kutua hedikopta kwa juu. jengo hili ni lile lile karibu na ymca katika makutano ya barabara ya upanga na azikiwe ama usoni pa kanisa la anglikana na conti cars. globu ya jamii kama kawaida yake ilikuwa ya kwanza kualikwa kwa tua ya haraka ili kujionea mambo yalivyo kwa ndani... kazi kwenu
sehemu ya kilaji
lonji
chumba cha kina nanihii (executive)
baa

chumba cha akina sie (standard)






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Nimekipenda hicho chumba chetu (standard)

    ReplyDelete
  2. Misupu acha fix sasa hilo jengo linaonekana tofauti kabisa na Mawenzi si renovation tu ilifanyika, lazma wameongeza ghorofa na kulitanua upande wa Azikiwe Road kuna uwezekano mkubwa Mawenzi Hotel ilivunjwa ili kuijenga hii ya sasa! tueleze ukweli Misupu!

    ReplyDelete
  3. ATUTAKI LONGO-LONGO
    TUPE GHARAMA ZAO ZIMEKAAJE KWA IZO ROOMS WAZONAZO NA WEBSITE/EMAIL..

    TUJUE TWAINGIAJE BASI

    na ile holiday inn kule mtaa wa nini sijui posta imekuaje???

    ReplyDelete
  4. Bei zinajulikana??
    Accomodation, misosi etc
    Pazuri.

    ReplyDelete
  5. hawa watu hata kodi hawalipi, no wonder they are coming back

    ReplyDelete
  6. kaka michu, mbona umetoa picha mbili, ya kwanza umesema sehemu ya kilaji na ya pili kutoka mwisho ni baa, je nini tofauti zao, naomba ufafanuzi braza michu

    ReplyDelete
  7. Michuzi umesema sehemu yakina Sie Mkeo anajuwa lakini? lol.

    ReplyDelete
  8. Kabla ya yote ninapenda kuanza kwa kuwaomba msamaha ndugu zangu watakaoudhika na hoja yangu ambayo imekuwa ikinisikitisha sana kila ninapoingia ktk mitandao ya kitanzania. Kwa kifupi nimekuwa nikishangazwa sana na hili wimbi la watu ambao wamekuwa wakiharibu lugha yetu ya kiswahili na bila ya watu hao kukosolewa ,ingwaje mara moja moja hutokea waungwana kutoa masahihisho lakini hakuna mabadiliko. Imekuwa kawaida kwa wabongo wengi kuandika neno "Ata" badala ya "Hata" na maneneo mengine chungu mzima. Jamani ndugu zangu naomba tujenge tabia ya kusoma sana kwa manufaa ya kupanua maarifa ikiwa ni pamoja na kunoa lugha zetu. Kama kingereza tunasingizia kuwa ni lugha ya kigeni tutajitetea nini tunapoboronga hata kiswahili. Jamani tusione aibu kurudia kusoma vitabu vyetu vya akina Shaaban robert,Tenzi zetu na vinginevyo vyenye lugha safi na sanifu. Kalenga Man

    ReplyDelete
  9. Mimi kwa kweli najiuliza sana japokuwa elimu yangu ni ndogo lakini... Hawa Haliday Inn walikuwako kule kwenye hotel ambayo kwa sasa inajulikana kama Southern Sun, je inakuwaje wauze kule halafy waje tena hapa???

    ReplyDelete
  10. kaka mithupu mbona parking ya magari haujatuonyesha wala kuiongelea au sisi wenye magari haturuhusiwi maana umesema kuna kauwanja ka kutua helikopta tu niweke sawa kaka

    ReplyDelete
  11. WELCOME BACK AGAIN HOLIDAY INN, LAKINI HATUTAKI FIX KUUZIANA KAMA ILIVYOKUA KWENYE HOTELI KADHAA HAPA NCHINI...KUNA HOTELI MOJA HAPO TOWN KAMA SIKOSEI ILIANZISHWA MWISHONI MWA MIAKA YA TISINI, MPAKA SASA IMEBADILISHWA MAJINA MARA TATU, TUSISHANGAE SIKU MOJA IKIITWA HADIJA HOTEL AU ABUBAKAR MAANA WANATUFANYA SISI HATUJUI KITU. EVEN HOLIDAY INN WAMEFANYA HIVYO BILA HATA UFAFANUZI NIKASHANGA INAITWA SOUTHERN SUN...

    MY ADVICE TO THE new HOLIDAY INN IS THAT THEY SHOULD HELP US FIGHTING FISADISM, WAKIONA MTU ANAETUHUMIWA KWA UFISADI ANAENDA KUTESA PALE, WAMRUDISHE WAMWAMBIE KWAMBA THEY ARE FIGHTING AGAINST GOVERNMENT FUNDS ROOTING!!! WATUMIE HAO WALINZI WAO MLANGONI KUWARUDISHA PIA NAFIKIRI HATA PICHA ZA MAFISADI ZINGEBANDIKWA RECEPTION KAMA ZILE PICHA ZA BARAZA LA MAWAZIRI. I AM VERY SURE EVERYONE OF YOU WILL AGREE WITH ME THAT ALL THOSE INVOLVED IN THIS KIND OF STATE FUNDS SCAMMING, DO THEIR SECRET MEETINGS IN POSH HOTELS WHERE THEY KNOW THAT WE POOR PEOPLE CANNOT AFFORD TO FOLLOW THEM AND HAVE EVIDENCE ABOUT THEIR ILLEGAL BUSINESS. IF THEY ARE REAL GOOD CITIZENS, IF THEY WANT US TO TRUST THEM, THEY BETTER HAVE THEIR MEETINGS AT MNAZI MMOJA GROUNDS, JANGWANI, KIDONGO CHEKUNDU OR BIAFRA GROUNDS WHERE WE PEOPLE HAVE ACCESS FREE OF CHARGE. NAFIKIRI TUNAKOELEKEA HIZI HOTELI ZITATUNGA SHERIA KWAMBA WALE WENYE CADILLAC, BENZI AU BMW NDIYO WANAORUHUSIWA KUPAKI GARI ZAO KWENYE HIZO HOTELI, SASA NYIE WENZANGU NA MIMI WENYE BAJAJI KAMA VILE SUZUKI,COROLLA,RAV 4 TUTAELEKEA WAPI WAJAMEENNNIIII????. NI KWELI HAO MAFISADI WANAPOANDIKIANA HIZO HAWARA (CHEQUE) ZA MALIPO YA UFISADI HUKUTANA KWENYE BONGE LA MA HOTELI AND THEY USE TWO PHONE HANDSETS, ONE FOR FISADISM AND THE OTHER FOR NORMAL DUTIES. THEY NEVER SPEAK KISWAHILI, THEY SPEAK THEIR USUAL BROKEN ENGLISH WITH IDIOMATIC EXPRESSIONS..SAMAHANI KAMA HUMU THERE IS ANYONE RELATED TO FISADIS, SHOULD CONVEY THIS MESSAGE TO THEM, IT PAINS ME WHEN WE POOR PEOPLE PAY TAX THEN THOSE FOOLISH SO SAID CLEVER PEOPLE SQUANDERING IT ALL SENDIN THEIR CHILDREN TO EXPENSIVE SCHOOLS IN USA, UK, CHINA, MALAYSIA, GERMANY AND MORE...I HATE YOU FISADIS, SIWAPENDI...
    ALEX MAWAZO KASENGO
    kasengo@hotmail.com

    ReplyDelete
  12. jamani hiyo standard mbona kina cye tia maji tia maji ha2to mudu??

    ReplyDelete
  13. HAKUNA UKARABATI WA KUFA MTU ULIOFANYIKA. NAMSHANGAA MICHUZI OFISI ZAKE ZIKO JIRANI LAKINI ANAJIFANYA HAKUONA UJENZI WA JENGO JIPYA UKIFANYIKA BAADA YA KUIVUNJA MAWENZI HOTEL.

    ReplyDelete
  14. Misupu katika huo mtaa ni jengo lenu tu linatia Kinyaa yaini Dailynews! hivi bado mko hapo au mshahama maana nawasiwasi na hilo Jengo laweza kuangua siku sio nyingi ! au mmwwauzia watu wa ILO wafanye parking ?

    ReplyDelete
  15. Mwacheni michuzi wao hawana Pesa za wizi na magendo wakipata watanyanyua jengo lao.

    ReplyDelete
  16. Mdau Tarehe March 09, 2009 7:44 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Daily News hawapo pale tena. Jengo linalotia aibu nadhani ni la Printpak.
    Wapeni miaka mitano Holiday Inn. Likizo ya kodi ikiisha pataitwa jina jingine. Wajinga ndio waliwao.

    ReplyDelete
  17. heheheheh!!uwanja wa kutua helekopta!!jamani angalieni jengo lisidondoke hiloo,na ujenzi wetu wa bla bla..haya hongereni..mie ninavyopajua hapo mmepata parking kweli ya magari

    ReplyDelete
  18. nasikia kuna underground(basement)parking hapo!
    Je mkuu Michuzi ni kweli?
    Kama hakuna parking sasa ni vipi wateja watalala hapo?

    ReplyDelete
  19. WANAVYO TUIBIA KWA KUDADIRISHA MAJINA YA MAJENJO NA BADO TUNAWAFAGILIA,KWELI WAJINGA NDIO TULIWAO

    ReplyDelete
  20. kweli kuzuri sana lakini kama alivyoosema mmoja hapo juu mbona majina ya mabiashara yanabadilikaga hivyo bogno....Kukwepa ushuru au kurishishana....I like the std room better

    ReplyDelete
  21. hapo pazuri ukiwa na mamsap! hahaha! machachari kweli hapo! nimeipenda rum yetu iyo

    ReplyDelete
  22. Unajuwa Tanzania kila Biashara kubwa baada miaka 5 wanabadili jina kama Sheraton Hotel ilivyokuwa na Makampuni ya Simu.

    ReplyDelete
  23. Watanzania wengi tutaona kwa macho tu hilo jengo lakii kulitumia ni wachache! sidhani kama wewe bwana Michuzi utaacha kitanda chako manzese na kulipa $120 kwa usiku mmoja hapo holiday inn, labda uwe na pesa ya ufisadi isiyo na uchungu. Furaha yetu ni kuona kwa macho na kusema Bongo imejengeka watakaofaidi ni wageni wanaokuja kutumia hela zao!

    ReplyDelete
  24. Nyie mnaoomba kuambiwa bei na website link je hamjui ku- google? Type google.com alafu andika chochote unachotaka duniani: Holiday Inn Tanzania alafu gandamiza enter.
    Hata ukitaka jinsi ya kupika ugali; type kwenye google: ugali then enter.
    Msichukie wadau kuwaandikia vitu basic ka ku google; inaonekana kuna watu wapo kwenye karne za nyuma humu ndani.


    JK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...