Home
Unlabelled
holiday inn kurudi dar mwezi ujao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimekipenda hicho chumba chetu (standard)
ReplyDeleteMisupu acha fix sasa hilo jengo linaonekana tofauti kabisa na Mawenzi si renovation tu ilifanyika, lazma wameongeza ghorofa na kulitanua upande wa Azikiwe Road kuna uwezekano mkubwa Mawenzi Hotel ilivunjwa ili kuijenga hii ya sasa! tueleze ukweli Misupu!
ReplyDeleteATUTAKI LONGO-LONGO
ReplyDeleteTUPE GHARAMA ZAO ZIMEKAAJE KWA IZO ROOMS WAZONAZO NA WEBSITE/EMAIL..
TUJUE TWAINGIAJE BASI
na ile holiday inn kule mtaa wa nini sijui posta imekuaje???
Bei zinajulikana??
ReplyDeleteAccomodation, misosi etc
Pazuri.
hawa watu hata kodi hawalipi, no wonder they are coming back
ReplyDeletekaka michu, mbona umetoa picha mbili, ya kwanza umesema sehemu ya kilaji na ya pili kutoka mwisho ni baa, je nini tofauti zao, naomba ufafanuzi braza michu
ReplyDeleteMichuzi umesema sehemu yakina Sie Mkeo anajuwa lakini? lol.
ReplyDeleteKabla ya yote ninapenda kuanza kwa kuwaomba msamaha ndugu zangu watakaoudhika na hoja yangu ambayo imekuwa ikinisikitisha sana kila ninapoingia ktk mitandao ya kitanzania. Kwa kifupi nimekuwa nikishangazwa sana na hili wimbi la watu ambao wamekuwa wakiharibu lugha yetu ya kiswahili na bila ya watu hao kukosolewa ,ingwaje mara moja moja hutokea waungwana kutoa masahihisho lakini hakuna mabadiliko. Imekuwa kawaida kwa wabongo wengi kuandika neno "Ata" badala ya "Hata" na maneneo mengine chungu mzima. Jamani ndugu zangu naomba tujenge tabia ya kusoma sana kwa manufaa ya kupanua maarifa ikiwa ni pamoja na kunoa lugha zetu. Kama kingereza tunasingizia kuwa ni lugha ya kigeni tutajitetea nini tunapoboronga hata kiswahili. Jamani tusione aibu kurudia kusoma vitabu vyetu vya akina Shaaban robert,Tenzi zetu na vinginevyo vyenye lugha safi na sanifu. Kalenga Man
ReplyDeleteMimi kwa kweli najiuliza sana japokuwa elimu yangu ni ndogo lakini... Hawa Haliday Inn walikuwako kule kwenye hotel ambayo kwa sasa inajulikana kama Southern Sun, je inakuwaje wauze kule halafy waje tena hapa???
ReplyDeletekaka mithupu mbona parking ya magari haujatuonyesha wala kuiongelea au sisi wenye magari haturuhusiwi maana umesema kuna kauwanja ka kutua helikopta tu niweke sawa kaka
ReplyDeleteWELCOME BACK AGAIN HOLIDAY INN, LAKINI HATUTAKI FIX KUUZIANA KAMA ILIVYOKUA KWENYE HOTELI KADHAA HAPA NCHINI...KUNA HOTELI MOJA HAPO TOWN KAMA SIKOSEI ILIANZISHWA MWISHONI MWA MIAKA YA TISINI, MPAKA SASA IMEBADILISHWA MAJINA MARA TATU, TUSISHANGAE SIKU MOJA IKIITWA HADIJA HOTEL AU ABUBAKAR MAANA WANATUFANYA SISI HATUJUI KITU. EVEN HOLIDAY INN WAMEFANYA HIVYO BILA HATA UFAFANUZI NIKASHANGA INAITWA SOUTHERN SUN...
ReplyDeleteMY ADVICE TO THE new HOLIDAY INN IS THAT THEY SHOULD HELP US FIGHTING FISADISM, WAKIONA MTU ANAETUHUMIWA KWA UFISADI ANAENDA KUTESA PALE, WAMRUDISHE WAMWAMBIE KWAMBA THEY ARE FIGHTING AGAINST GOVERNMENT FUNDS ROOTING!!! WATUMIE HAO WALINZI WAO MLANGONI KUWARUDISHA PIA NAFIKIRI HATA PICHA ZA MAFISADI ZINGEBANDIKWA RECEPTION KAMA ZILE PICHA ZA BARAZA LA MAWAZIRI. I AM VERY SURE EVERYONE OF YOU WILL AGREE WITH ME THAT ALL THOSE INVOLVED IN THIS KIND OF STATE FUNDS SCAMMING, DO THEIR SECRET MEETINGS IN POSH HOTELS WHERE THEY KNOW THAT WE POOR PEOPLE CANNOT AFFORD TO FOLLOW THEM AND HAVE EVIDENCE ABOUT THEIR ILLEGAL BUSINESS. IF THEY ARE REAL GOOD CITIZENS, IF THEY WANT US TO TRUST THEM, THEY BETTER HAVE THEIR MEETINGS AT MNAZI MMOJA GROUNDS, JANGWANI, KIDONGO CHEKUNDU OR BIAFRA GROUNDS WHERE WE PEOPLE HAVE ACCESS FREE OF CHARGE. NAFIKIRI TUNAKOELEKEA HIZI HOTELI ZITATUNGA SHERIA KWAMBA WALE WENYE CADILLAC, BENZI AU BMW NDIYO WANAORUHUSIWA KUPAKI GARI ZAO KWENYE HIZO HOTELI, SASA NYIE WENZANGU NA MIMI WENYE BAJAJI KAMA VILE SUZUKI,COROLLA,RAV 4 TUTAELEKEA WAPI WAJAMEENNNIIII????. NI KWELI HAO MAFISADI WANAPOANDIKIANA HIZO HAWARA (CHEQUE) ZA MALIPO YA UFISADI HUKUTANA KWENYE BONGE LA MA HOTELI AND THEY USE TWO PHONE HANDSETS, ONE FOR FISADISM AND THE OTHER FOR NORMAL DUTIES. THEY NEVER SPEAK KISWAHILI, THEY SPEAK THEIR USUAL BROKEN ENGLISH WITH IDIOMATIC EXPRESSIONS..SAMAHANI KAMA HUMU THERE IS ANYONE RELATED TO FISADIS, SHOULD CONVEY THIS MESSAGE TO THEM, IT PAINS ME WHEN WE POOR PEOPLE PAY TAX THEN THOSE FOOLISH SO SAID CLEVER PEOPLE SQUANDERING IT ALL SENDIN THEIR CHILDREN TO EXPENSIVE SCHOOLS IN USA, UK, CHINA, MALAYSIA, GERMANY AND MORE...I HATE YOU FISADIS, SIWAPENDI...
ALEX MAWAZO KASENGO
kasengo@hotmail.com
jamani hiyo standard mbona kina cye tia maji tia maji ha2to mudu??
ReplyDeleteHAKUNA UKARABATI WA KUFA MTU ULIOFANYIKA. NAMSHANGAA MICHUZI OFISI ZAKE ZIKO JIRANI LAKINI ANAJIFANYA HAKUONA UJENZI WA JENGO JIPYA UKIFANYIKA BAADA YA KUIVUNJA MAWENZI HOTEL.
ReplyDeleteMisupu katika huo mtaa ni jengo lenu tu linatia Kinyaa yaini Dailynews! hivi bado mko hapo au mshahama maana nawasiwasi na hilo Jengo laweza kuangua siku sio nyingi ! au mmwwauzia watu wa ILO wafanye parking ?
ReplyDeleteMwacheni michuzi wao hawana Pesa za wizi na magendo wakipata watanyanyua jengo lao.
ReplyDeleteMdau Tarehe March 09, 2009 7:44 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Daily News hawapo pale tena. Jengo linalotia aibu nadhani ni la Printpak.
ReplyDeleteWapeni miaka mitano Holiday Inn. Likizo ya kodi ikiisha pataitwa jina jingine. Wajinga ndio waliwao.
heheheheh!!uwanja wa kutua helekopta!!jamani angalieni jengo lisidondoke hiloo,na ujenzi wetu wa bla bla..haya hongereni..mie ninavyopajua hapo mmepata parking kweli ya magari
ReplyDeletenasikia kuna underground(basement)parking hapo!
ReplyDeleteJe mkuu Michuzi ni kweli?
Kama hakuna parking sasa ni vipi wateja watalala hapo?
WANAVYO TUIBIA KWA KUDADIRISHA MAJINA YA MAJENJO NA BADO TUNAWAFAGILIA,KWELI WAJINGA NDIO TULIWAO
ReplyDeletekweli kuzuri sana lakini kama alivyoosema mmoja hapo juu mbona majina ya mabiashara yanabadilikaga hivyo bogno....Kukwepa ushuru au kurishishana....I like the std room better
ReplyDeletePretty!
ReplyDeletehapo pazuri ukiwa na mamsap! hahaha! machachari kweli hapo! nimeipenda rum yetu iyo
ReplyDeleteUnajuwa Tanzania kila Biashara kubwa baada miaka 5 wanabadili jina kama Sheraton Hotel ilivyokuwa na Makampuni ya Simu.
ReplyDeleteWatanzania wengi tutaona kwa macho tu hilo jengo lakii kulitumia ni wachache! sidhani kama wewe bwana Michuzi utaacha kitanda chako manzese na kulipa $120 kwa usiku mmoja hapo holiday inn, labda uwe na pesa ya ufisadi isiyo na uchungu. Furaha yetu ni kuona kwa macho na kusema Bongo imejengeka watakaofaidi ni wageni wanaokuja kutumia hela zao!
ReplyDeleteNyie mnaoomba kuambiwa bei na website link je hamjui ku- google? Type google.com alafu andika chochote unachotaka duniani: Holiday Inn Tanzania alafu gandamiza enter.
ReplyDeleteHata ukitaka jinsi ya kupika ugali; type kwenye google: ugali then enter.
Msichukie wadau kuwaandikia vitu basic ka ku google; inaonekana kuna watu wapo kwenye karne za nyuma humu ndani.
JK