Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jd ako kastaili kako nimekapenda kweli ka shati ka silk ya zambarau na kijamba koti ivi mastaa wa hapa bongo uwa wanashop wapi?

    ReplyDelete
  2. Tafadhali bro michu usiibanie hii,
    sis akipiga pamba za kistaarabu anapendeza sana kumbuka ht wakati alipoalikwa na THT, kuliko cjui vitovu wazi,mara mapaja nje sio ishu sana aendani navyo ht hvy mapaja yk hayalipi kiivyo...yaani kama hapo ni tosha sn simple, responsible,smart mwake mwake na maneno yoote mazuri uyajuayo. nafikiri ht ss funies wake wengi tunapenda akivaa hvy..
    ni mwazo tu- sam Ar

    ReplyDelete
  3. WATANZANIA TUPENDA SANA KUJIKWEZA LICHA YA KWAMBA HATUKWEZEKI, HIVI SASA TANZANIA NI NCHI PEKEE KATIKA AFRIKA YENYE MASUPA STAA, MASUPA KOCHA, MABABA YA MUZIKI NA MISIFA MINGINE MINGI MINGI UKIANGALIA WANACHOKIFANYA HAKINA UTANZANIA NDANI YAKE LICHA YA KUKOPI NYEKUNDU NA KUPESTI NYEUSI NA KULEBO MADE IN BONGO, WIZI MTUPU. HATUNA CHA SUPA STAA WALA NINIHII YAKE NI WABANGAIZAJI TU WA BONGO DARESALAAM. SASA VYURA ANZENI KUKOROMA.

    ReplyDelete
  4. Hee! makubwa hivi comment zingine nahisi haziendani na topic sasa hapo unatusema sisi watanzania kwa ku copy na ku paste au unamsema jide kwa kutoa hilo tangazo, ufafanuzi muhimu naona unatafuta company ya watu kuanza kuponda MICHUZI ni mstaarabu hana mambo hayo comment zenu pelekeni huko huko vichochoroni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...