Home
Unlabelled
Jide kuadhimisha siku ya wanawake kwa bonge la pati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jd ako kastaili kako nimekapenda kweli ka shati ka silk ya zambarau na kijamba koti ivi mastaa wa hapa bongo uwa wanashop wapi?
ReplyDeleteTafadhali bro michu usiibanie hii,
ReplyDeletesis akipiga pamba za kistaarabu anapendeza sana kumbuka ht wakati alipoalikwa na THT, kuliko cjui vitovu wazi,mara mapaja nje sio ishu sana aendani navyo ht hvy mapaja yk hayalipi kiivyo...yaani kama hapo ni tosha sn simple, responsible,smart mwake mwake na maneno yoote mazuri uyajuayo. nafikiri ht ss funies wake wengi tunapenda akivaa hvy..
ni mwazo tu- sam Ar
WATANZANIA TUPENDA SANA KUJIKWEZA LICHA YA KWAMBA HATUKWEZEKI, HIVI SASA TANZANIA NI NCHI PEKEE KATIKA AFRIKA YENYE MASUPA STAA, MASUPA KOCHA, MABABA YA MUZIKI NA MISIFA MINGINE MINGI MINGI UKIANGALIA WANACHOKIFANYA HAKINA UTANZANIA NDANI YAKE LICHA YA KUKOPI NYEKUNDU NA KUPESTI NYEUSI NA KULEBO MADE IN BONGO, WIZI MTUPU. HATUNA CHA SUPA STAA WALA NINIHII YAKE NI WABANGAIZAJI TU WA BONGO DARESALAAM. SASA VYURA ANZENI KUKOROMA.
ReplyDeleteHee! makubwa hivi comment zingine nahisi haziendani na topic sasa hapo unatusema sisi watanzania kwa ku copy na ku paste au unamsema jide kwa kutoa hilo tangazo, ufafanuzi muhimu naona unatafuta company ya watu kuanza kuponda MICHUZI ni mstaarabu hana mambo hayo comment zenu pelekeni huko huko vichochoroni
ReplyDelete