Home
Unlabelled
JK akutana na Raila Odinga London
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona Kibaki atoki? au ...
ReplyDeleteHivi Rais wetu anawapa ukweli wao kwamba hakuna land sharing kwenye East African community au anacheka nao tu? Maana waziri wake JK wa EA cooporation(Kamala)kashindwa na anatetemeshwa na wakenya na wanyarwanda huko EAC- kumbe doctorate yake fake akafu JK babadala ya kumuondoa aweke mtu anaweza kutetea maslahi ya taifa anacheka nae tu tena.
ReplyDeleteLazima waelezwe ukweli wakenya na wanyarwanda kwamba ardhi ya watanzania haitatumika kuwapatia ardhi waliokosa ardhi Kenya na Rwanda baada yao kwao kuamua kugawawna ardhi kifisadi na kikabila.These guys should sort clean up their houses siyo kunyemelea ardhi TZ wakati wao wameshindwa land management kwao.
each time an article appears on the blog with kenyans or on kenyans, some tanzanians CANNOT help becoming HATERS. Why? Kwanini? Sasa swala la ardhi linatokea wapi kwenye picha hii? Badala ya kuzingatia kwamba viongozi hawa wawiri walienda kuwakilisha eneo la East Africa, wewe anony unaishia kugombania mada ya ardhi. Why? Kwanini?
ReplyDeletePK
JK need to ask this people some real questions.... No EAst African Community.. NO
ReplyDeleteKipanya, wapi picha kama ile uliochora ya B&B
ReplyDeleteCheers!!
"Aisee Raila,mmefikia wapi na marekebisho ya Katiba yenu?Msirekebishe Katiba bwana,utaniletea matatizo nchini kwangu!Na Wadanganyika nao wata anza kunisumbua nao turekebishe Katiba!acha kabisa Raila!".Kule Bongo hivi sasa mambo tambarare tu,hakuna mtu anayekumbushia kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi,wala Katiba yenyewe!Yaani tume wa confuse kweli na mambo ya EPA!wacha kabisa,dozi za epa,kagoda na deep green,sio mchezo baba!Kile kilikuwa Kituu!".tehe tehe tehe,no no no..unajua tatizo Kenya watu wetu wako makini sana,hawasahau kitu hata uwamwagie sembe ya bure!Those people have an attitude!Wakisemaga "NO" ni No Kweli.sio mchezo!Katiba lazima tuibadilishe kabla ya uchaguzi mkuu ujao,otherwise hawatatupigia kura!Si unawajua Wakenya Mzee?,"eeh kweli nawajua!".Anyway,tutajua la kufanya,katika miezi hii michache iliobakia,sijui nigombee tena au ...? Haka ka East African Cooperation sijui namna gani,hakaendi fasta!he he he!But No Land Issue au Unregulated Labour Mobility No Please,wataniua wadanganyika!You can cheat them on any other issues but not about the Land and Free Mobile Labour!This is it!BlueBand tutakula no problem,Colgate tutapiga hakuna taabu,lakini sio Ardhi Wazee!
ReplyDeleteUDUNI WA ELIMU YETU, UVIVU NA UNYONGE WETU NDIO UNAOTUFANYA TUWACHUKIE WAKENYA KWANI TUNAONA KUWA WANATUONEA KITU AMBACHO SICHO. MHE. JK AMEHUDHURIA MIKUTANO MINGI SANA NA KUPONGEZWA SANA KWA MAFANIKIO YA KUONDOA UMASIKINI KIASI KUWA NILIWAHI KUISIKIA REDIO UHURU IKISEMA KUWA PATO LA MTANZANIA NI DOLA ELFU HAMSINI KWA MWAKA! SIJUI WALIPATA WAPI HII HATA HIVYO NI REDIO YA PROPOGANDA; SASA PAMOJA NA MAHUDHURIO YOTE HAYO HALI YETU WANANCHI NI BORA YA MWAKA JUZI KILA SIKU UMASIKINI UNAZIDI KUTUDIDIMIZA.
ReplyDeleteWewe anon 12:20 pm.We are not haters but land issue has been a burning issues to all East Africans.We cannot be drag by any one to agree what they think is right to us.Let our people speak.Wewe anon wa 12:20 pm unaongea hivyo huelewi hao wakenya jinsi walivyo...Angalia magazeti yao kila yanapotea habari inayohusu EAC federation wanatoa maneno ya kashfa juu ya nchi yetu kwa hiyo wewe unataka Watanzania wanyamaze na hao wakenya waendelee kuendeleza kashfa na chuki dhidi yetu nia yao halisi kwa sababu wanaona msimamo wetu kuhusu ardhi yetu? Thubutu! Watanzania hatutakubali itakuwa ugomvi mkubwa iwapo serikali itaridhia suala la ardhi ni bora wakaishia hapo walipofikia.Jamani tuwe patriotic na nchi yetu kama vile ambavyo wakenya walivyo na patriotism kwa nchi yao.Umeona juzi hapo lake victoria kwenye kisiwa kidogo tu cha ukubwa wa ekari moja cha Migingo kinachogombania na Kenya na Uganda jinsi ambavyo Wakenya wanavyo-suggest kuwa wapeleke jeshi ili wakichukue kwa nguvu kutoka kwa Uganda.Jamani watanzania tuache mentality za UJAMAA tulinde mali yetu tusitapanye urithi wetu waliotunza mababu zetu kuwapa watu wasiostahili kisa kwa sababu ardhi yao walijigawanyia wenyewe sasa wananchi wao wengi hawana ardhi wanatafuta ardhi nchi nyingine kwa nini wasiigawanye ile waliochukua viongozi wao waliojikatia wenyewe wakawagawia wananchi wao.Watanzania ninyi hamuwafahamu wakenya vizuri,Nasema hivyo kwa sababu nimeishi Kenya na wengine naishi nao hapa Los Angeles,walio hapa wengi naokutana nao kila mara wanaulizia kama wanaweza nunua ardhi Tanzania wanatamani kiasi kwamba kuna wanaotaka niwanunulie kwa jina langu na wala si ubia.Watanzania tunapaswa tuwe imara tulinde mali yetu kwa ajili ya vizazi vijavyo.Tufikirie mbele tuache myopic thinking hao wajukuu na vitukuu vyenu watapata wapi pa kuishi kama hakutakuwa na ardhi au mnataka wakae kama Kibera na Mathare kwenye slums na walipie ardhi kwa landlords on monthly basis.Siyo hayo tu ardhi ni maendeleo,baadaye tutaweza kupata mikopo ya ujenzi kwa kuwa tuna ardhi.TUSIKUBALI NCHI YETU ICHUKULIWE NA WASIO RAIA HATA KAMA KUNA EAC FEDERATION SUALA LA ARDHI LIWE JUU YA NCHI HUSIKA.HATUTAKI ARDHI YAO NA WAO HAWANA SABABU YA KUTAKA ARDHI YETU.
ReplyDelete