mtayarishaji wa kili marthon aggrey marealle wa executive solutions akitoa matangazo huku meza kuu ikisikiliza kwa makini. waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa mh. bernard membe (mwenye miwani) naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. joel bendera (shoto) na mkuu wa mkoa wa kilimanajaro mh. mohamed babu walikuwepo katika mashindano hayo yaliyoanza na kuishia uwanja wa ushirika, moshi.picha zaidi


Mbona kwenye hizo picha kunaonyeshwa magari yakipita njiani? ina maana hawakuzingatia viwango vya kimataifa hewa safi kipindi cha riadha barabara zote zilitakiwa zifungwe!
ReplyDelete