
globu ya jamii imethibitisha kwamba tinocco aliitoa barua hiyo hata kabla ya taifa stars kwenda ivory coast kwenye michuano ya CHAN, ambapo ndiyo kusema hatuna tena kocha mtaalamu wa timu ya taifa ya vijana.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kulipa hamuwezi manajidai makocha hawajui kazi mnataka wazalendo
ReplyDeletemwaya maximo usisaini mkataba rudi kwenu. achana na wbabaishaji. wanajadili kitu wasichoweza kufanya.
Usilalamike sana mdau kuhusu kuwalipa makocha wa kigeni, Kiukweli bado WaTZ hatujafikia hatua ya kuappreciate Proffesional za Wengine KIVITENDO. Tukifika hapo utaona japo safari ni ndefu sana mdau.
ReplyDeleteWakatabahu,Tabata
Ni masikitiko makubwa kwetu wana michezo, lakini namuomba rais wa tff kufanya juu chini ili tuweza kupata kocha mwingine atakaye wafundisha vijana wetu, maana uko ndiko kwenye vipaji.lakini lazima awe kocha kutoka nje ya nchi, maana hapa kwetu wapo, lakini longolongo nyingi na ubabaishaji.
ReplyDeleteDu nilifikiri hilo ni tatizo la simba na yanga tu kukimbiwa na makocha, kumbe ni tatizo la taifa.
ReplyDeleteHaya bwana.
Mwakalebela
Huyu hajaondoka, yuko likizo ya mwaka mmoja bila malipo.
ReplyDeleteTinoco alikuja kufundisha soka. Matazamio yake yalikuwa kuandaa timu ishindane mashindano mbalimbali ili aonyeshe uhodari wake. TFF walipoitoa timu walimtafuta ubaya tu.
ReplyDeleteTushazoea makocha kukimbia...Micho, Bezinski, Stanslescu.....