Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. 93% of Tzns.live without/don't have electicity for a while now,sasa hicho kiza watu wanacho kihofia kwa kutonunuliwa mitambo mi-sijui ni kipi!Nchi nzima ipo kwenye kiza siku nyingi tuu!!
    ...lets put it this way:Hata kama hiyo mitambo ya kufua umeme itanunuliwa,je mtanzania wa kawaida ataweza kweli kumudu gharama zake??
    Ushauri:Jk ahakikishe tu kuwa ana umeme pale magogoni, Muhimbili,jeshini,lasivyo ka-mchezo ka El,Aziz,Kmangi hakana nia njema kwake!!

    ReplyDelete
  2. hivi ni nani anataka kusikia upuuzi huu unaofanyika hapa nchini tulipo kuwa tunauliza kuhusu mitambo ni yanani tuliambiwa richmond hajulikani sasa leo utanunua mitanbo kwanani? mimi kwanza nina shangazwa na uamuzi uliopitiswa na bunge kuhusu richmond na dowans kuwa malipo yasitishwe na mkataba uvunjwe maramoja. chakushangaza tanesco waliendelea kulipa tu yale mamilioni kwa hawa jamaa sasa ninauliza. huyu raisi asiyehehimika wa nini? mimi ninashuri kikwete aende akapumzike miaka mitano inamtosha na iwapo CCM watampitisha kama mgombea nitawaona hawana nakili wote hapo hatuna raisi tuna mtu asiyejua anafanya nini kiongozi haogopwi na viongozi aliowachagua mwenyewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...