KAKA MICHUZI,
NAOMBA USIIFUKIE HII YA LEO. KWANI KAKA MICHUZIIII HAWA ASKARI WAOTEMBEA NA MAPIKIPIKI KAZI YAO NI NINI?
MANAAKE UNAWEZA UKAMKUTA KAKAMATA MAGARI MATATU MANNE SASA JE TRAFFIC WENYE KAZI HIYO WAKO WAPI? NA ILISEMEKANA HAWA WANAWEZA KUZUIA UJAMBAZI MBONA JE KWENYE FOLENI ZA MAGARI SEHEMU SEHEMU WATU WANAVAMIWA NA HAWA WAKO WAPI?
JUZI JUZI TUUU MTU MMOJA ALIPOST JUU YA WIZI WA KWENYE FOLENI UNAVAMIWA KWENYE GARI LAKO NA WANACHUKUWA KILA WANACHOTAKA .
SASA KAMA HAWA WANGEKUWA WANAKUWEPO TUNGEVAMIWA?
KAKA MICHUZI NAOMBA TUSAIDIANE KUHUSU HILI LEO
MDAU ABDALLAH EDWARD NGATUNGA..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ABDALLAH NGATUNGA UPO SAHIHI SANA KWASABABU HAWA JAMAA SOMETIMES HAWAONEKANI KABISAAA WANAKUWAGA WAPI? EEH EHE EEH AAH AAH AAH ABDALLAH DUH! WE MWISHO.HATA UOGOPI MDOGO WANGU.

    ReplyDelete
  2. mimi nawashangaa sana mnaotaka selikali iingilie mambo ya vibaka wadogowadogo tu, yaani wao hawanamadhara makubwa ktk jamii. nyie lieni na mafisadi ndio wanaoleta shida nchini.

    mtu akiiba mkate na mwingine akauza nchi yupi mbaya??

    hao police wanaupeo mkubwa sana kuwaacha vibaka wakaongezeka huenda ndiyo mtajuwa kuwa ufisadi unahalibu nchi.

    nakwambieni patakuwa hapatoshi kama hamtaacha kufisadi mali ya umma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...