Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Naona Kipanya kaisahau na Pemba, nakukumbusha tu kaka yangu samahani kama itakuwa nimekukosea.

    ReplyDelete
  2. Pemba mbona shwari tu tangu uchaguzi wa 2005 au mdau hapo juu unadhani sisi hatufuatilii hali ya Zanzibar. Kinachoonekana wewe unanufaika na hali ya kutokuelewana iliyopo zanzibar

    ReplyDelete
  3. Nia yangu ni kukumbusha tu kwamba na Pemba pia binaadamu(watu/viumbe) kama sisi waliuliwa baada ya uchaguzi wa mwaka 2000. Narudia tena samahani kama itakuwa nimekosea maana naona ishawagusa wengine.

    ReplyDelete
  4. March 11, 2009 12:28 PM naona ushaweka conclusion. duh!!!

    ReplyDelete
  5. pemba shwari tu,ni nyie na misimamo yenu ya "u---- na u----" tu ndo unawasumbua.

    mdau apo #2 yuko sawa kabisa
    watu tu hupenda ku-trigger hali fulani zilizopita,sijui ndo mzuka wenyewe km yule kijana alomchapa kerbu former presidaa?!

    tarime iyo ni hali ya kawaida ndo mahusinao yao uko,wee omba siku ukutane tu na mwanainchi wa kawaida naeishi tarime yan ushari-shari ivo ni kama kawa

    ni hayo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...