Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona Kipanya kaisahau na Pemba, nakukumbusha tu kaka yangu samahani kama itakuwa nimekukosea.
ReplyDeletePemba mbona shwari tu tangu uchaguzi wa 2005 au mdau hapo juu unadhani sisi hatufuatilii hali ya Zanzibar. Kinachoonekana wewe unanufaika na hali ya kutokuelewana iliyopo zanzibar
ReplyDeleteNia yangu ni kukumbusha tu kwamba na Pemba pia binaadamu(watu/viumbe) kama sisi waliuliwa baada ya uchaguzi wa mwaka 2000. Narudia tena samahani kama itakuwa nimekosea maana naona ishawagusa wengine.
ReplyDeleteMarch 11, 2009 12:28 PM naona ushaweka conclusion. duh!!!
ReplyDeletepemba shwari tu,ni nyie na misimamo yenu ya "u---- na u----" tu ndo unawasumbua.
ReplyDeletemdau apo #2 yuko sawa kabisa
watu tu hupenda ku-trigger hali fulani zilizopita,sijui ndo mzuka wenyewe km yule kijana alomchapa kerbu former presidaa?!
tarime iyo ni hali ya kawaida ndo mahusinao yao uko,wee omba siku ukutane tu na mwanainchi wa kawaida naeishi tarime yan ushari-shari ivo ni kama kawa
ni hayo tu