

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HII NI AIBU KWELI,
ReplyDeleteHUU NI UONEAJI. HAMUWEZI KUCHUKUWA ENEO LA MTU KISA YEYE NI MNYONGE AU HANA UWENZO KAMA MNATAKA MAENEO MBONA HAWAENDI KUCHUKUWA ENEO LA YONA HAPO NYUMA YA WAZO HILL.
INAWEZEKANA VIPI KILA WATU WAKITULIA KTK MAENEO YAO MNAWACHUKULIA SEHEMU ZAO??
ACHENI KUWANYANYASA. KTK NCHI ZILIZOENDELEA HAKUNA KUONEA WANYONGE AU HII NCHI NI YA MAFISADI TU WENGINE HAWANA HAKI??
MTU ATAKAEGAIWA SHAMBA LA BABA YANGU NITAENDA KWA PAPA BENEDICTOR KUPELEKA MALALAMIKO YANGU. KWANI YEYE NI MWISHO WA VIONGOZI WASIOJUWA WAJIBU WAO. KAMA MNATAKA ENDELEENI INABIDI KILA MTU AWE NA HAKI SAWA MSITULETEE UFISADI HADI KWENYE ARIDHI ZETU.
Nendeni mkachukuwe shamba la mkapa mpime viwanja. acheni kuonea dagaa kenge nyie
ReplyDeleteHAYA NDIYO MADHARA YA KUAJILI WATU WENYE UCHU NA KILA KITU. YAANI WAO WANATAKA KILA KITU KWELI HAWA NI MAFISADI NA WALA SIO VIONGOZI.
ReplyDeletemambo ndiyo hivyo Man U wameshapigwa 2-0 rooney na scholes wamepewa nyekundu.Mpira umekwisha
ReplyDeleteSijui leo ferguson kama atawasusia tena waandishi wa habari au la.
Daraja la stanford liko mbioni kubomolewa ingawaje boli halijaisha.
The giant is waking up, wananchi watanzania wanajua kipi ni kipi kwa sasa jamani, mlio serikalini msiwachukulie poa wananchi maana sasa hivi wana ufahamu kuliko ilivyokuwa nyuma.
ReplyDeleteYou better watch out...
Kwa sababu hii dhulma ya ardhi kwa kisingizio cha kuleta maendeleo imeshakuwa ni mazoea kwa mafisadi, mi nashauri wananchi tupambane kwa umoja kupinga dhulma hii na kuhakikisha inafutwa sheria ya kuhalalisha dhulma inayosema ARDHI NI MALI YA SERIKALI,kwa kutumia sheria hiyo unaporwa kiwanja chako ulichonunua kwa mamilioni unalipwa vijielfu kama fidia ya mimea na miti iliyomo bila kujali umenunua kwa bei gani eti kisa ardhi ni mali ya serikali. Mali ya serikali kivipi wakati nimenunua kwa pesa zangu na mie ndio nayelipia kodi kama mali ya serikali mbona serikali hainisaidii kulipia kodi ya kiwanja, kulipa pesa za kupima na kumiliki, kumhonga mjumbe asaini maombi ya kupimiwa??? wizi mtupu! tuamke, tupambane tutafanikiwa!!
ReplyDelete