mandhari bomba
utulivu
mahala pa dina la mchana na lanchi ya usikuMichuzi, How are you doing bro....
Well ,Just to share some information ...In the last two weeks I have been in Songea, Southern Part of Tanzania...and I resided in one of the hotels there called 'The Heritage Cottage'( aka padogo pazuri)' which is about a few kilometers from Songea Town..a place called Bomba Mbili.....
I was really impressed with their services as well as the atmosphere and the sorroundings....It's not a bad idea to share this info with other readers.....
They also have their website for further info:
I submit
Mdau Fadone


Ahsante sana mdau kwa picha nzuri ya maendeleo yaliyopo nyumbani. Bombi hii nyumbi hii mazingira mazuri mno. Panavutia haswaa. Na umetuambia kwamba huduma ni nzuri pia. Nikijaliwa kwenda Songea nitatambelea hapo.
ReplyDeleteDu umenikumbusha nyumbani jamani.. Wadau wa songea tuendelee kuleta picha nyingi za Bombi hii nyumbi hii. Haswa Mbamba-Bay. "Muli bwanji" wasongea wote!!!!!!!!!
ReplyDeleteyani mimi nimekaa songea jamani hii sehemu si mchezo kwa mahali kama songea aliye fungua kitu kama hiki hongera yake kwa kweli sisi wabeba mabox tukija huko na watoto wetu rikizo tutalala hapo mpaka likizo iishe well done wandugu.mdau uk.
ReplyDeleteAsante sana mdau kwa picha nzuri za hiyo hotel, ni pazuri kwa kweli, hata mimi nikienda nyumbani kupumzika nitafikia hapo, vipi bei zao zipoje? na kwa kuongezea naona Michuzi hakuiweka hii ni kwamba ile timu yetu ya soka, Majimaji aka wanalizombe imepanda daraja na kurudi ligi kuu sasa, hivyo burudani ya soka kama kawaida, hongera sana kwa wadau wote mliowezesha timu kurudi ligi kuu. Ni mie mngoni asilia,
ReplyDeletehaaah kweli hapo ni bombi hii nyumbi hii..mlibwanji..habari ya kuyumuka..kantengele spuni pa tebo ahahah inanikumbusha mbali kweliiiiiili
ReplyDeleteMdau aliyetaja Mbamba Bay nategemea atafarijika na taarifa yangu hii hapa.
ReplyDeleteDinner ni usiku
ReplyDeleteLunch ni mchana.....Tafadhali tusiwapoteze wenzentu kwa kutumia broken english.
Wakunyumba,Kwanza ninamshukuru sana aliyeanzisha topiki hii kwa kuonyesha kujali huduma yetu....Pia Tunawashukuru nyote kwa kuonyesha kujali na kukumbuka 'kunyumba' karibuni sana padogo pazuri....kuhusu bei ni kuwa kuna vyumba vya sh 40,000 na sh.30,000
ReplyDeleteVilevile huwa kuna burudani za ngoma za kitoto,lizombe nk muda wowote au kwa ombi maalumu......Karibuni sana hata chilau...
Wenu Ngonyani (Meneja uhusiano)
Samahani Author!!!!!!
ReplyDeletebei ni 40,000 na 50,000
waweza pia kupata habari zaidi kwenye website yetu: www.heritage-cottage.com.karibuni sana
Ngonyani
Hata mimi nililala pale three years ago ni pazuri. Nasikia inamilikiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya makazi Mama Salome Sijaona. Ni pensheni nzuri sana atakapostaafu haina mizengwe ya ki EPA hiyo.
ReplyDeleteJamani, hongera sana wana-Songea. Hii ni hatua ya kuigwa. Sasa tuna pakwenda jamani hasa wikiendi...Na hata mida ya jioni hivi baada ya kulitumikia taifa letu...Wana-sese (Peramiho Girls) vipi jamani, tuonane basi pale padogo pazuri. Nafikiri tutakuwa na wakati mzuri sana wa kukumbushana mambo ya TZ11. Hongera sana Songea.
ReplyDelete