mwimbaji maarufu toka mombasa nyota ndogo akila pozi na judith daines isambai mbibo a.k. lady jd. kinadada hawa wa shoka ni tunu ya afrika mashariki katika majukwaa ya muziki ambapo kila mmoja wao kafanya makubwa katika anga hiyo. nyota alikuwepo bongo kutumbuiza la lady jd siku ya wanawake duniani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni sana sana kwa kutumbuiza na kuwakilisha wasanii wa kike.
    Mbona kama mnafanana au ni macho yangu tu? Ukiambiwa ni ndugu huwezi bisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...