HABARI KAKA MICHUZI,

NATUMAINI UKO POOOWA,EBWANA MZEEYA NAOMBA MSAADA UNITANGAZIE MTANDAO WANGU WA JAMII HII HAPA www.mzikimnene.ning.com

HAPO BABU YANGU NI BONGO FLAVA KWENDA MBELE WAJUMBE WANAWEZA KUWEKA PICHA,VIDEO MZIKI WAO BINAFSI ILI TUENDELEE KUIWEKA BONGO FLAVA KWENYE RAMANI NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI,

WAKO MDAU

KUTOKA KAMA KAZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. yap kaka web imetulia sana hiyo mtu wangu.asante sana kwa kutuwekea mambo ya ukweli ili tuweze kupata news na mambo mengine kwa ujumla.
    shaffy a.k.a. sikwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...