dereva wa daladala akinochomeka barabara ya madela rodi. wengi ya madereva wa mabasi haya ni utingo waliopandishwa daraja kuwa madereva bila kuwa na leseni halali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. sawa tu waacha akuchomekee maana nyie nao na vigari vyenu binafsi mnaona kama mmenunua barabara. Kiustarabu kama hauendi kasi sana na nyuma yako kuna foleni si vibaya ukamwacha dereva mmoja akaingia kakuwashia indiketa unazidi kwenda tu sas yeye afanyeje? Bongo hakuna ustaarbu kwa madereva wote ndio maana kama hakuna taa au trafiki watu wanachelewe kwa kuzibiana kwa kila mmoja kutaka kupita. Kwa nchi za wenzetu unaweza kukuta junction yenye barabara tatu tatu ikitoke taa hazifanyi kazi (jambo ambalo siyo mara nyingi) utakuta watu wanapishana (wanaachiana) bila tatizo hadi police watakapo kuja. Najua kwa sababu nimekukandia hutaitoa lakini lengu langu lakukufikishia ujumbe litakuwa limekamilika.

    ReplyDelete
  2. kamanda usimaindi sana ni sehemu ya maisha tu hiyo na hao jamaa ndio wanaofundisha udereva na ndio wanaotukomaza barabarani... ishu ni kama leseni umeletewa nyumbani, lakini vyenginevyo komaa nao tu

    ReplyDelete
  3. kwa mtindo huu hata ile vogue yangu siileti tena nyumbani! mtanigongea

    ReplyDelete
  4. Protest! Hii ni time ku protest and to stop using haya mabasi...once money stops coming to owners they will listen to us and provide better service...it is in our hands to kuwafundisha lesson

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...